Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
kaenda hani muni peke ake?
why bothered?
by me?
do i have those powers to bother you?why?
did you had any history of how 'chi chat forum was started?and what kinds of threads are for chit chat????
kuna mwanadada
alipotea nae
huyo bado haonekani
naona baba ananguv
kaanza na huyo dada
atakuja,walikuwa
double aaaah i mean
couple
agrrrrrrr!
Sehemu zake zishapotezwa
you are welcome
duh, afadhali umerekebisha, glad you got the point #31.
Amandla.
sikuwepo kama wiki au zaidi
nimerudi na its true jf is never boring......
dah...nili wa miss mno.....
i hope all is welll..........
Karibu tena BOSS, ulienda Mlandizi? 🙂🙂 Mie nakuchokoza tu banaaa hahahahah lol! Na sisi tulikumiss sana.
Nakutakia weekend njema yenye furaha tele.
Habari kaka yangu?
Nzuri dada yangu. Pole sana kwa msiba. Nimefurahi safari yako ya kuwahi mazishi imeenda salama salmini. Ulibeba vile vyakula vitamu vitamu au hukupata muda wa kuvitafuta? 🙂🙂
Aisee una nguvu ya ziada. Wiki nzima bila JF? Dah!!sikuwepo kama wiki au zaidi
nimerudi na its true jf is never boring......
dah...nili wa miss mno.....
i hope all is welll..........
Nilikua wa kula dada yako? ila tumesha poa sasa, thanks for the support, ilinisaidia sana in those days. mambo mengine?
Aisee una nguvu ya ziada. Wiki nzima bila JF? Dah!!
Nimepumzika vya kutosha home, nimekaa 10 days! ila sasa nacatch up, asante. tuendelee PM...Pole sana. Mambo mengine poa kabisa namshukuru Mungu. Vipi na wewe shughuli zako umeshaziweka sawa? I hope hauko nyuma sana, kukosa hata week moja ni shughuli nzito, lakini kwa jinsi unavyojituma najua hali yako haitakuwa mbaya sana. Ila kupumzika ni muhimu sana.
Baada ya simba kumboronga naona umekuwa kama umemwagiwa maji. Kulikoni?ulabu ulikolea ..
Nimepumzika vya kutosha home, nimekaa 10 days! ila sasa nacatch up, asante. tuendelee PM...