Jf inaelekea pabaya.....

Jf inaelekea pabaya.....

pisces

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
240
Reaction score
61
.... member wa jf tubadilike sasa.
humu ndani kumekua na tabia sikuhizi ya baadhi member kutofikiri.
inapotolewa mada mara nyingi huishia kwenye marumbano, matusi na kejeli. uhuru wa kutoa maoni umekua hauheshimiwi tena. ule ustaarabu wa kukosoa kwa hoja za msingi umepungua sana siku hizi.

inasikitisha kuona thread zinageuka kua za majibizano na mipasho badala ya ule ustaarabu wa kutoa hoja za msingi na kuelimishana. lazima tukubali kutofautiana, isiwe mtu anapochangia kile ambacho wewe hukipendi basi iwe mwanzo wa kutukanana na kupigana mipasho.

ikitokea mwenzetu akakosea spelling basi atapigwa vijembe balaa.pia kumezuka tabaka la wenyeji na wageni humu ndani. kitu ambacho hakina mantiki yoyote. hata sisi tulikua wageni wakati tunajiunga jf.

tuendelee kuwekana sawa na kuifanya jf yetu iwe yenye kuelimisha na kujenga, na utofauti wake na fb au tweeter uwe wazi.
 
Daaah! nikisema kitu utasema mie sio mstaarabu, but I don't find it funny!
 
sa ndo ulie
 
Wazo zuri kweli kweli, lakini eneo ulipotupia sio penyewe kidogo mkuu, its like kumtokea chachi au masjid, au kwenda kusomea bybo disco then unamshauri dj apunguze saut kidogo ili uelewe gospel.
 
.... member wa jf tubadilike sasa.
humu ndani kumekua na tabia sikuhizi ya baadhi member kutofikiri.
inapotolewa mada mara nyingi huishia kwenye marumbano, matusi na kejeli. uhuru wa kutoa maoni umekua hauheshimiwi tena. ule ustaarabu wa kukosoa kwa hoja za msingi umepungua sana siku hizi.

inasikitisha kuona thread zinageuka kua za majibizano na mipasho badala ya ule ustaarabu wa kutoa hoja za msingi na kuelimishana. lazima tukubali kutofautiana, isiwe mtu anapochangia kile ambacho wewe hukipendi basi iwe mwanzo wa kutukanana na kupigana mipasho.

ikitokea mwenzetu akakosea spelling basi atapigwa vijembe balaa.pia kumezuka tabaka la wenyeji na wageni humu ndani. kitu ambacho hakina mantiki yoyote. hata sisi tulikua wageni wakati tunajiunga jf.

tuendelee kuwekana sawa na kuifanya jf yetu iwe yenye kuelimisha na kujenga, na utofauti wake na fb au tweeter uwe wazi.

pumbafu
 
Back
Top Bottom