JF ilivyoua huba langu

Yaani angenikiuta na hii ID ya sa hivi ilivyohuru ndio angezimia😁😁
🤣🤣 maana kwenye hii ID ndiyo umechachuka zaidi ya ile.

Wanawake wengi husema mwanamume anayemchunga mke au mpenzi wake ni insecure na hajiamini ila kiukweli mwanamume anayempenda mpenzi wake huwa anapenda kujua mienendo ya mwanamke wake.

Tumeumbwa tuwalinde wapenzi wetu wasitoke nje ya himaya yetu, tupo hivyo.

Angalia hata wanyama dume wanavyokuwa makini na majike yao
 
Roho inauma,wivu huna!
 
Kwa kweli alitafuta sababu sio siri🤣🤣🤣
Si ndio hivi mzaramo Leo nimekumbuka nimemleta kilingeni wazaramo wenzangu mshughulike nae🤣🤣🤣
Mwambie sisi ndio wale wale wa insta, twitter na jf. Tunabadilika kutokana na mazingira

Na kwa alivyo na gubu atakuwa Mpwayungu huyu 😂😂
 
Hii I'd Haina baya!inajiishia maisha ya ukweli.....
Kwa hiyo unataka kusema alikuwa ananipenda sana si ndio?
 
Weeee Twitter huko ndyo hapafai kabisa japo sina account ila naona bora jf kuliko twitter
Wana thread zao za watoto wamelala ni porno tupu mbwa wale.
Twitter ilikuwa zamani hii ya ss hivi imekuwa ya hovyo
 
Roho inauma,wivu huna!
Kwa umri wangu wa Uzee nilionao, nilihisi labda sitakuwa na Wivu kumbe nilikuwa najidanganya Bwana

Kuna siku nilishatoa Gobole langu kabisa ila baada ya kufikiri miaka 78 niliyonayo nikaona si busara kumalizia Uzee wangu Jela 🤪

Ila it real hurts 😪
 
Hii I'd Haina baya!inajiishia maisha ya ukweli.....
Kwa hiyo unataka kusema alikuwa ananipenda sana si ndio?
Hakika alikupenda na anajua humu jf sio mahali salama kivile

Kwa hiyo alikuwa anahangishwa na hilo jambo akilini mwake alijiuliza je, mpenzi wangu atakuwa salama kweli?
 
😁😁😁

Ninpendekaaaa sema huu mmea wa chokochoko itabidi niunyime maji ili ukufe Kwa ukame 😆😆😆
Unyime kabisa maji,Huo mmea usikuharibie huba lako
 
nawe wa ajabu, huku jf id ni feki kisha mtu anakuuliza unakubali kuwa umo jf?😀
 
Ulitaka ukampopoe mtu na gobole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…