makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,567
- 108,870
Sina Siri,Sasa watatunza Siri ganiπ€£Labda Mod wakutunzie siri tu π€£π€£π€£π€£
Ukiachwa umeachwa.ππππDunia simama mie nishuke ukirudi nipitie
πππWe nae acha gubuUkiachwa umeachwa.
Anarudi wapi?Atarudi, nasema hivi atarudi tena...halafu..halafuπππππ€£
ππππUmeanza kutuvuruga ubongo sasa swala la jack kufa kwenye meli iliyo zama na CCM mbele kwa mbele vinaingiliana vp huu sini muhaho jmnAnarudi wapi?
Hivi ulishawahi kuangalia Titanic zaidi ya mara Moja?Hamna kinachobadilika meli lazima izame,Jack lazima afe,na rose abaki mpweke!achana na mambo ya Ex,we piga CCM mbere Kwa mbere in Magufuli voice π€£
π₯±π₯±π€£π€£π€£
We bado yanki Huwezi kuelewa lugha zetu malegendary tuko duniani tangu nduli Idd Amini hajafurushwa na Nyerere...hiyo comment ataelewa ERoniππππUmeanza kutuvuruga ubongo sasa sawa la jack kufa kwenye meli iliyo zama na CCM mbele kwa mbele vinaingiliana vp huu sini muhaho jmn
Nani ajitolee tuanzie masham sham ya kibongoπβοΈUkiachwa umeachwa.
ππ₯Wacha kwanza nisomeWe bado yanki Huwezi kuelewa lugha zetu malegendary tuko duniani tangu nduli Idd Amini hajafurushwa na Nyerere...hiyo comment ataelewa ERoni
Joannah ninajambo lako tukutane π₯Tuliza kichwa hicho.
ππWakazaji wote ufalme wa Mungu watauonaPole sana mkuu labda alopitaga kwenye uzi wa kula tunda kimasihara
Inaonekana Mr alikua mchangiaji pale akaamua ajiwahi mapemaππWakazaji wote ufamlw wa Mungu watauona
ππππYote ayo kunachanzo hakuna kitu kinatokeaga bureInaonekana Mr alikua mchangiaji pale akaamua ajiwahi mapema