BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,882
- 20,366
Cc Miss NatafutaSamaleko,
Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.
Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea, kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music, basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba, halafu tab nyingine nilifungua JF, sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako.
Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye, mimi Niko zangu napikapika, basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.
Baby una account Jamii forum? Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁 Eeeeeh bwana nilisimangwaaa, nilisomewa risala, niliambiwa sifai kabisa, mimi sio wife material, maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF, JF, JF sipumui, mpaka safari ikaishia njiani.
Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣? Eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?
NB: Nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake, nikabadili zangu ID chaaaa.
Happy Maulid to all.
😂😂😂Watu majibu yenye mfano wa kinyesi kigumu kinachonatoka kwa mafungu Uzi huo unakuaje mrefu kiasi hikoUnaingia jf unakuta Uzi mrefu kma mkojo wa asubuhi kutoka Kwa x wako 😀😀😀
Sentensi fikirishi😊!Unaingia jf unakuta Uzi mrefu kma mkojo wa asubuhi kutoka Kwa x wako 😀😀😀
😂😂😂😂😂Sentensi fikirishi😊!
Sentensi hizi zilikua enzi za wagaratia😂😂😂😂😂
Hahaha............kukuta habari za Mzee kama mimi mwenye miaka 78 humu haitakuwa vizuri, itabidi Wajukuu wajifunze kuwa na Vifua vya kutunza mambo Otherwise mtatuua kwa Presha 🤪Unaingia jf unakuta Uzi mrefu kma mkojo wa asubuhi kutoka Kwa x wako 😀😀😀
Sisi ndio walewale wa Kwa mwamposa,misikitini na hata makazini...sa itakuwaje?Bila unafiki na bila kupepesa macho na kwa experience yangu ndogo Kwa upande wake naona anaweza kuwa alikua sahihi au hakuwa sahihi kwa sababu zake anazozijua yeye!
Jf kwa drama za mapenzi 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️
NB; Sijasema msiwe na mahusiano humu!
😂😂😂😂 Mwanaume anakuwaje na gubu? Huyo alikuwa anatafuta mlango wa kutokea ili akukimbie tuBasi ilifanikiwa maana nilisindwa gubu
😁😁😁Lakini bado unamkumbuka mpaka unamuanzishia uzi? JF ni sehemu nzuri sana Miss Desperado🤣🤣🤣Hata sikumlilia.....nilishusha pumzi
Hahahaha lol 😅Kumkumbuka sio kwamba ndio nampenda bwana....nampenda bby wangu despr🤣🤣
Atarudi, nasema hivi atarudi tena...halafu..halafu😁😁😁😁🤣Sasa si atajua mwenyewe!hii story ishapita Karibu miaka minne so I don't care kabisa
Ni heri kusemewa huko kwa mwampo au kanisani kuliko mabaya yako yaanikwe humu...🤣Sisi ndio walewale wa Kwa mwamposa,misikitini na hata makazini...sa itakuwaje?
Kwani wananijua?watajua wenyewe 😁😁😁Ni heri kusemewa huko kwa mwampo au kanisani kuliko mabaya yako yaanikwe humu...🤣
Tutakujua tu, swala la muda....🤣Kwani wananijua?watajua wenyewe 😁😁😁
😂😂😂🥱Hahaha............kukuta habari za Mzee kama mimi mwenye miaka 78 humu haitakuwa vizuri, itabidi Wajukuu wajifunze kuwa na Vifua vya kutunza mambo Otherwise mtatuua kwa Presha 🤪
Subiri tuone🤣Tutakujua tu, swala la muda....🤣
😂😂😂😂Dunia simama mie nishuke ukirudi nipitieSubiri tuone🤣
Labda Mod wakutunzie siri tu 🤣🤣🤣🤣Subiri tuone🤣