Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,705
- 99,507
HahahahaUtasikia hebu njoo inbobo๐๐๐
๐๐๐Yan tunaishia kuoana wenyewe kwa wenyewe wakili kwa wakili๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Miaka ijayo tutazoea tuu ila kwa sasa bado ni changamoto sanaChangamoto sana
๐ ๐ ๐ yaani hutaki Wazee MjukuuMmh babu we utarudi tu nyumbani ukimaliza kunywa supu na wine
Mkuu haya mambo hayana komando๐๐๐Hatari sana Mkuu ๐
Labda asiwe mtu wa kuyaleta maisha ya jf katika mahusiano yetukwahyo mwanaume wako akitumia jf unaweka walakini?
๐๐๐Mkuu haya mambo hayana komando๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Saundii nyingi alafu pesa hatuna nehii
Kwa kweli Mkuu, sikuwahi kuamini kwamba yangeweza kunikuta katika umri huu wa miaka 78 niliyonayo ๐Mkuu haya mambo hayana komando๐๐๐
Yaani unakaa ukiwinda nani ananichinjia ngamia wangu ๐Kama una roho nyepesi unaweza kuwai Pm ya mtu aliyemwita muongee kiume๐๐๐
Usiihusishe Maulid na uasherati na uzinzi wako. Koma.Samaleko,
Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.
Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea,Kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music,basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba,halafu tab nyingine nilifungua JF,Sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako,
Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye,Mimi Niko zangu napikapika,basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.
Baby una account Jamii forum?
Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi๐๐
Eeeeeh bwana nilisimangwaaa,nilisomewa risala,niliambiwa sifai kabisa,Mimi sio wife material,maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF๐,ikawa JF,JF,JF sipumui,mpaka safari ikaishia njiani...
Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki๐คฃ??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?
NB:nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake,nikabadili zangu ID chaaaa..
Happy Maulid to all
Hahaha.................hasa tukishalewa, hatuchelewi kukupa kadi na nywila ili ukatoe salio benki ๐Mnasumbua tu na mapengo yenu bhana
Umri umenitupa mkono Mjukuu ๐คชMiaka 78 mchezo
Rafiki Angu acha tuu๐๐๐๐
Si mlishasema Ngombe hazeeki mainiKwa kweli Mkuu, sikuwahi kuamini kwamba yangeweza kunikuta katika umri huu wa miaka 78 niliyonayo ๐
Na hapo hata hamjafika jangwani๐๐na ngamia wako ni Jf tu umeshindwa kuvumiliaYaani unakaa ukiwinda nani ananichinjia ngamia wangu ๐