ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 589
- 208
Yeeeha nipo Kwa mtaa,,,,,,,,/Punch hazieleweki utadhan ticha wa math/
pia mistari michaf, let them get bath/
Kwa kuchana you are not my level,
Waite wenzako wanaoweza hizi level/
dogo hujui yai unakimbilia kiswahili.Mwana, mistari yako una search kwenye google//
Bando likiisha, unadrop kwenye Battle//
Usiingie ulingoni nami nitakutoa magego//
Ninavochana mimi hadi Nay anakosa Mitego//
1, 2, 3 Naanza kutema flows
Zenye akili sio fyatu, haters zawavunja jaws,
unapaswa ujue humu sinaga mshindani
wengi mnasarenda , pind niwapo mchezon
napo wakalisha nyie mafeki,weng huic kama utan
Ila nasomeka vyema navyo kuchapa tu key board
Yap