JF Hip-hop frestyle battle

Iman isikufanye utenge ndugu yako..

Itikatadi isikufanye umchukie jiran yako..

Mungu alituumba na upendo wa pekeee..

Leo cna nikiomba Basi kesho niletee..

Mm napenda ile iman ya kuamisha milima..

Mabonde, majabali, vijito na visima..

Sio ile iman ya kuhalalisha takrima..

Au ya kumdhulumu mama yule alo achiwa yatima..
 
Nacheki avatar nasahau amri kumi za mungu,

Yeth mtoto matata nataka kusuuza rungu,

Sema chochote utapata fanya kunipa uvungu,

Kazi imekua kazi kidume nataka tundu
Natazam naona watoto wanaleta makuzi........
Vina vimeungwa mpka zimelegea nyuzi.
Nakaa pemben naon bora niwaachie uzi
 
Kama ukimpenda Wema jiandae Kua bongomovie..

Uchezeshwe scene za scandal media ziuze nyuzii..[emoji1] [emoji1]
 
Natazam naona watoto wanaleta makuzi........
Vina vimeungwa mpka zimelegea nyuzi.
Nakaa pemben naon bora niwaachie uzi
Usiniquote halafu ukaleta komed,

Cheki unableed bob umesahau pedi,
 
Kama ukimpenda Wema jiandae Kua bongomovie..

Uchezeshwe scene za scandal media ziuze nyuzii..[emoji1] [emoji1]
nadhani baada ya hizi picha za uchi unaweza kuongeza lyrics za Wema
 
E E bhna hi battle ni wapi imeishia.

Leo ndo mara ya kwanza JF nmeingia.

nmezisoma battle ghfla zikanivutia.

ikabidi nisignup sasa ninawaamkia.

wakubwa shikamoni, hamjambo wadogo.

Nimeona kuna m2 anasema mwenzake anagawa ndogo.

Akat ye daily kwa kitaa anatumia mikorogo.

Sifa yake kubwa anapenda tumia mihogo.

sasa imekua zogo pale anapokata gogo.

anatoa gogo pana mithili ya chake kisogo.
 
Remember This
 
Its a longtime asee kwa hii thread sijatimba/nikikinukisha kinanuka zaidi ya kimba/my rhyme is a bigcock man utapata mimba/Me ndo mmasai wa basata waulize akina simba/
 
Inasikitisha sana member since 2017 still you have one like?/

this means you have nothin to impress nigga on your posts/

Kumbuka hii siyo fb kusema utatumia autoliker ku bust/
 
hakuna muda maalum wa kuamka//

kuna muda maalumu wa kuwajibika//

ukitumika na kutupwa usimtupe atakayekuokota//

Nakukumbusha kuwa najua kuandika siwezi kufuta//
 
Oi wana, hizi punch untouchable,//

Kuzitouch masnitch impossible,//

Audible, lakini sio portable,//

Kwa snitch, // wabichi//
Invisible,
Mawitch hawaoni hizi magic,
Verse na stanza ni singable//

Mafakes kuzising impossible//

Okey, mabrazameni wamesanda//

Physically, Mentally bado nawashinda//.

Kuspeak naspeak zaid ya spika, //
Mi strong sio weak spika, //
Kibabe naspeak kama Samweli Sitta//
 
I might rap tight like a snatch of a fat dike
But I aint wrapped tight
I kill yall fake rappers on sight
Make u submit to me without a fight

flow uglier like the gugenheim building had a child with the most compicated rube goldberg machine.
Call me Iddy Amin
 
Mwana, mistari yako una search kwenye google//

Bando likiisha, unadrop kwenye Battle//

Usiingie ulingoni nami nitakutoa magego//

Ninavochana mimi hadi Nay anakosa Mitego//

1, 2, 3 Naanza kutema flows

Zenye akili sio fyatu, haters zawavunja jaws,
 
ebu tulia mtoto wa mama mzao wa ng'ombe ntakuita ndama/

kaa tayari nikufanyie hifadhi mtu mzima niite mpanga kazi/

tulia nikupashe habari usiyo nayo/

ukiniona kaa mbali au karibu nikusafishe kama ubao/

rudi shule au nikupe ule maana mchana una ubao/
 
Punch hazieleweki utadhan ticha wa math/

pia mistari michaf, let them get bath/

Kwa kuchana you are not my level,

Waite wenzako wanaoweza hizi level/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…