Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
kukufahamu tu..nakusoma sana humu ila nachanganyikiwa..Mtoto... na come 18 by junii.
Swali limelenga nini mpendwa. Unaweza ukajibiwa vizuri nikielewa malengo ya swali.
Ok list ya kwanza hii hapa.
1. Keyon
2. merengo90
3. Rich Ze Best
4. NAKEMBETWA
5. life coach
6. oscarsolomon
7. markj
8. sizonjemadawa
9. slimdaddy
10. mwanazuoni mgeni
Session one.
Keyon vs Nakembetwa.
Session/round ya kwanza
Aanze Keyon vs Nakembetwa
Mada iwe MMU. Mtapiga round mbili mbili then watu wanapiga kura halafu mshindi anapatikana anasubiri mshindi wa group lingine.
Mwenye la kusema kabla hamjaanza.
Kiswahili ni kizuri zaidi ili kila mtu awe na uhuru wa kuchana.
kabl cjaanz hilo battlle ni vema nikajua maana ya MMU mana mm mgen hapa jf
Hiyo hapo juu....kukufahamu tu..nakusoma sana humu ila nachanganyikiwa..
ok mdogo angu..usiku mwema
kirefu cha mmu its wat i want to knwUnachanganyikiwq how aggy!
Here we go !!
Kijana unashinda MMU huku ukiwasapoti LGBT/
Mwisho wako mubaya kama TVT/
MMU kilamember mjuvi wa penzi/
wamejaza thread kama inzi/
MMU utapata furaha ya mahaba/
Member wacheshi maneno Yao si haba/
Mapenzi Sasa weka mbele pesa/
Mabinti wa MMU wanavunga hawataki Pesa/
MMU inashangaza inapendwa na wengi/
Huku ikichukiwa na wengi/
Tatizo la MMU wanaubaguzi kama karanga/
Ni heri nikamsome intelligence-kiranga/
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
najua mwenyewe.yaache tuUnachanganyikiwq how aggy!
Hehe kaingilia battle!!Hiyo hapo juu....
Battle ilikuwa kati ya Keyon na Nakembetwa. Sasa kapotea hewani. Sizonjemadawa ameamua yeye aingie nafasi yake. Mshindi atakayepatikana atapambana na mtu mwingine. Nafikiri nimeleweka sasa.
Here we go !!
Kijana unashinda MMU huku ukiwasapoti LGBT/
Mwisho wako mubaya kama TVT/
MMU kilamember mjuvi wa penzi/
wamejaza thread kama inzi/
MMU utapata furaha ya mahaba/
Member wacheshi maneno Yao si haba/
Mapenzi Sasa weka mbele pesa/
Mabinti wa MMU wanavunga hawataki Pesa/
MMU inashangaza inapendwa na wengi/
Huku ikichukiwa na wengi/
Tatizo la MMU wanaubaguzi kama karanga/
Ni heri nikamsome intelligence-kiranga/
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kabla ya kuropoka ungetoa maana/ siyo tu unaanza kuleta lawama/ sijui wanabaguana/ haina maana/ unawazungumzia vijana/ nahisi unataka leta uwasama/ tupo huku tunafundishana/ MMU kuzuri tunapata vimwana/ kama shinie, miss chaga na akima rihanna/
Kuhusu kushikamana/ MMU uzuri wake hawawezi kunyimana/
MMU ni topic ya hawa jamaa wawili juu. Atakayeshinda anaingia ulingoni na mtu mwingine kwa topic nyingine.Hey mkuu tafsiri ya MMU basi
vijana wapo wanapika nn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mageton kwaoJamaa kapotea yule nenda na huyu
Picha za mnato,Kabla ya kuropoka ungetoa maana/ siyo tu unaanza kuleta lawama/ sijui wanabaguana/ haina maana/ unawazungumzia vijana/ nahisi unataka leta uwasama/ tupo huku tunafundishana/ MMU kuzuri tunapata vimwana/ kama shinie, miss chaga na akima rihanna/
Kuhusu kushikamana/ MMU uzuri wake hawawezi kunyimana/
Now Kuna-work nafanya,Jamaa kapotea yule nenda na huyu