You want a freestyle battle
You wanna flee like cattle
I see you better Kwaito
While I MC from here to Chato
I bomb like NATO
Like TRA, kato
I charge Kodi ya Mapato
Take you to school, uno, dos, tres, cuatro
And if you still don't understand I'll give another recital
You can't test me I'm big shark youre just a Sato
Try to contest me, I take away all your titles
I'm vital, you bomb out,Tidal
I give you a mental depression til you need Zital
You need insurance like GEICO before I take you out psycho.
keyboard kwa kiganja,Bilionea wa russia naona anawaSHIKA
Ni zaidi ya doctor chattle vile anavyosikika
Maro ooh itapendeza kila jimbi akiwika
Ila najua atazima nyakati huja na kupita
Ngastukaa meku,I wish,I could be IGP, ni msemo Wa Magufuli.
Ma MC mko wapi, mbona siioni mistari.
Mistari yenyewe makapi, na mingine si kiswahili.
Leteni mistari iliyotukuka, na inayoelezea uwazi.
Msiwe kama dokta Shika, mia tisa itapendeza zaidi.
Mnatakiwa kuserereka, ili mtupe burudani.
Ndio kwanza mnaweweseka, kama mpo usingizini.
Binafsi sijaridhika, naomba mtupe madini.
Sijaribu nafanya, ila sifanyi matusikeyboard kwa kiganja,
Bando nalisafu/
si shisha wala ganja,
Mii muumini wa misahafu/
Kohozi nabanja,
Natema chini lyrics chafu,
boda nazichanja,
Nakuachia vumbi la toyota surf/
kwangu sioni baya kukutoa haya,
Wananigwaya waulize nilowavunja taya/
kidume unachamba bila haya,
mi nakulisha kaya upagawe kwa hii fire/
Nawasha moto si kitoto,
napiga mboto hii si show ya kiloko/
voko zito zaidi ya zito,
Huku siko dogo cheza biko/
Jf nazima majukwaa,
precaution mnaambukizana MMU wengi walishaukwaa/
Cc Al-WatanDISS
There is this folk by the name ALWATAN,
He's an atheist, no he's an agent of SATAN,
I know what you're up to, and I think you deserve a life BAN,
You're simply a failure, so don't mess with God young MAN.
You're always every where, spitting shit with your bad MOUTH,
And last time I checked, you were hiding in your parents' HOUSE,
you're just a cursor, I'll tell you where to go, I'm the MOUSE,
You must be high on drugs, consider yourself queen of the SOUTH!
Sometimes I wonder, if you've got something else to DO,
Cause you're always every where spreading romours which ain't TRUE,
Idiots like you, should be kept in the ZOO.
And I'll be there too, not I the cage but to laugh at YOU.
Ok, tega sikio sikia,Sijaribu nafanya, ila sifanyi matusi
Wakujiita mc kumbe ni akina ney na makuzi
Nipesheni legendary ili mfaidi ujuzi
Watoto wadogodogo mnaandika upuuzi
Ukiacha diss kuna mistari ya kuandika
Ukisanda tafuta kiki ujulikane kama Shika
Bandari na mankotena hakuna jogoo wakuwika
To be...
Nashukuru umenitaja
Hii kwangu ni hisani
Nipo full mstaafu nimejaa
Huu ukuu na cheo cha kanali
Nmefuzu kwa bashasha
Na upeo wenye adili.
Haah,.dope dissDISS
There is this folk by the name ALWATAN,
He's an atheist, no he's an agent of SATAN,
I know what you're up to, and I think you deserve a life BAN,
You're simply a failure, so don't mess with God young MAN.
You're always every where, spitting shit with your bad MOUTH,
And last time I checked, you were hiding in your parents' HOUSE,
you're just a cursor, I'll tell you where to go, I'm the MOUSE,
You must be high on drugs, consider yourself queen of the SOUTH!
Sometimes I wonder, if you've got something else to DO,
Cause you're always every where spreading romours which ain't TRUE,
Idiots like you, should be kept in the ZOO.
And I'll be there too, not I the cage but to laugh at YOU.
Mkuu hii ni singeli michano?ooooghsh wamelala aaaaaa
hawana helaaaaaaa
wamesepaaaaaa
kidume napaaaaaa
vyuma vimekazaaaaa
ooogsh hawana ngawilaaaaa
jf hawana nywilaaaaa
mistari haina vinaaaaaa
iam expat membaaaaa
hizi ngumu wee sepaaaaa
One two one two hii ni microphone checkOk, tega sikio sikia,
Nilianza kama utani/
Wengi wakadhani natania,
Nikakaza rap nikaifanya waubani/
Mademu waloniita kibamia,
Leo wakiniona wanapandisha maruani/
Madogo nao sikuhizi utaskia,
Daby kaja wote wanakimbia uani/
Mafaniko ni hatua,
Wapo walalahoi leo hii ni wakishua/
walibezwa wanabana pua,
hawakujali walijua tu ni moto wa mabua/
Skia maisha ni sanaaa, usanifu umbunifu
Ndiyo kipimo wee jamaa/
Pia kwenye sananaa, wenye tifu na bifu mtaishia kuyauguza majeraha/
Its a sad fact, you’re locked in my back pack/One two one two hii ni microphone check
Mko tayari? mi mshambuliaji jipangeni nyie mabeki
Japo kwa rap ni mkongwe ila mistari sizeeki
Tatizo lenu michosho mna vina vya keki
Fake mc over fear mpaka wanaona soo
Wanabaki kukimbia kwani nawakaba koo
Na mistari ya kucopy ya akina Atieno yo
Mkiona mic nzito basi vueni majoho