Mzee mistari shit umeikurupua jiji la makumbusho,Maemc uchwara mchwara, napoteza kama hivi.../
Eti hampendi kuniona, mnazima na tv.../
Sa mi ndo yule rapa, naetafuna kila biti...
cheki bila kiki, nawakimbiza ka kibiti.../
Nifico.
Mzee mistari shit umeikurupua jiji la makumbusho,
Castr am so gud ngoja nikupe mistari ya uso,
Ebwana hauwezi kitu hapa umevagaa moto,
Sijaingia humu kitambo umenikuta na arosto,
Castr am so good ngoja nikupe msoto.
hatareeeeeeee agiza mihogo kwa mama pili nakuja kulipiaNatoka slums kila nyumba ni X/
Hakuna wachumba starehe kubwa ni Sexy/
Huku ndumba nikanyaje utoke busha tenesi/
Hatuongei vya maana hapa ni pumba kinyesi/
Usishangae mtoto mdogo akakupiga kibesi/
Hata mtungini watu wanakata Gogo na kujihisi wepesi/
Mabashite kila angle hakuna habari za vyeti/
Na tunaziba kila pengo hata ukifa ni fresh//
Hatuna mbunge polisi au waziri/
Tunaishi kinyama sio ujamaa kama niki wa pili/
Kabali za shingo ndo somo tuliokalili/
Ukizingua ni zuna hakuna mambo ya albari/
Ikileta polisi misimamo hatuwezi badili/
Tushapinda kila leo kupona hatuoni dalili/
Na tunadinda hata kwa malapa sio mpaka chuchu saa sita kamili/
Mcheki pusha atembezee stick bablai/
Usela wa kinafki huwa hauna maslahi
Mc una arosto, mi ndio sober ya mistari..../
nakuweka kwenye bato, nikumurder so siri..../
na hili chimbo la jambazi, kuwa mpole ntakukill.../
punch zangu hazipungui, kama mali ya bahili.../
Poa poahatareeeeeeee agiza mihogo kwa mama pili nakuja kulipia
Tisha sana mkuuNatoka slums kila nyumba ni X/
Hakuna wachumba starehe kubwa ni Sexy/
Huku ndumba nikanyaje utoke busha tenesi/
Hatuongei vya maana hapa ni pumba kinyesi/
Usishangae mtoto mdogo akakupiga kibesi/
Hata mtungini watu wanakata Gogo na kujihisi wepesi/
Mabashite kila angle hakuna habari za vyeti/
Na tunaziba kila pengo hata ukifa ni fresh//
Hatuna mbunge polisi au waziri/
Tunaishi kinyama sio ujamaa kama niki wa pili/
Kabali za shingo ndo somo tuliokalili/
Ukizingua ni zuna hakuna mambo ya albadri/
Ikileta polisi misimamo hatuwezi badili/
Tushapinda kila leo kupona hatuoni dalili/
Na tunadinda hata kwa malapa sio mpaka chuchu saa sita kamili/
Mcheki pusha atembezee stick bablai/
Usela wa kinafki huwa hauna maslahi
Asante sana.Tisha sana mkuu
[emoji16]i wish.Kill em.. Drop lines ebu