HahaNaona unarukaruka kama umemeza kitenesi/
Michano yako inayumba blaza kaka we mwepesi/
Nachezea biti kwa tenzi producers wananita messi/
Mkulima napanda mbegu we kapande hela desi/
Kwa maneno machache picha kubwa inajieleza/
Form1 dume mashine sibust na mchuzi wa pweza/
Nikiandika ni lambogini kaa mbali mistari alteza/
Kacheze unapochezaga hapa kwangu hautaweza/
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako hawatii kwato wakiniskia me nachana/Haha
Nagawa vina bila visa, kama penzi la Inna kwa Ivuga/
Bongo bahati mbaya huna viza, kupaa labda kwa ungo kuloga/
Nipo ligi soo, marapa kama wewe nawatomasa kama chuchu /
Daby ndiyo jogoo, nawapanda nitakavyo kwangu mwiko puchu /
Hauniwezi bro, uliza msimbazi niliikalisha kariakoo/
Wenzio kunichana wanaona soo, nimewapa tumbo la kuhara wanashinda choo/
Nagawa ban kama Paw, wee ni jplus mi ndiye Bigshow/
Nipo JF AM to PM, rapper feki subiri uhakiki wa JPM /
Ni follow nina mengi kama CNN, USA baby swagga za NN/
Natoka Chuga sio KLM, dogo bado unarisiti pepa la PCM?/
tuliza domo mropokaji, huna vina ila taarabu/Naiita two in one, ila bado hazikabi beki /
mapozi yenu ya nainai, sio sumba wala Tanga Daby halogegi /
Sitetereki nipo imara, jipangeni MMU , la wakubwa mpaka la siasa/
Keyboard nimeishika bila papara, jipangeni huu ndio muda wa kuwapapasa/
Mi ndiyo tycoon, nawapeleka mombasa kama falcon/
Tena I'm The Boss, mtanashati zaidi ya Hance/
nawaona Nyani dizaini Ngabu, kaeni mbali mi ni Asprin babu/
Bila utata namwagika, sina utata kama nyuzi za Monicca/
Mnafyumu kama mnapumu, hii taarifa wekeni dada zenu mbali na Kaboom /
Mtakatifu wananiita Saint Ivuga, natangaza ndoa na Inna mtoto wa arachuga/
Sitafuti kama miss, ila na element za ki-chagga cash sipendi kuzi-miss/
Kila napopita wananiita, mshindi ndiyo mimi muulizeni emmyta/
Khaaa.........!!!Naiita two in one, ila bado hazikabi beki /

Mc feki michano feki uhalisia wote kapuni,Marapa nawasomesha Imla, wengi mpaka mpigwe jeki nyuma la sivyo mnaelekea kibla/
Si sizi japo nainyonga rizla, voko tindikali naogopeka kama Hitler/
Jichanganye nikuvunje bikra, napata ghadhabu napomkumbuka mshkaji RIP ibra/
Nakiss mice, flow nice, terabyte kwangu usjijaribu kupick fight/
Wee nyonya myk, tena twice, kisha sogea nikuvue tight /
Na speed kali wananiita Bolt, marapa nawapanda naona wapo Hot/
Gusa unase msee niko na shot, akili finyu fupi kama kimo cha Joti/
JF ilikuwa zamani, leo imeisha utamu afadhali hata wa Anjari/
JF warembo amani, msikae mbali nami ndiye asanali/