MMU cheers, JLW pisheni njia/They call me blac street niga/
Nnae mwaga floo ata ukizba/
Sio bch snich or king kiba/
Jst a disease without tiba /
So young boy just take it easy /
Before i take ur ass busy/
radiation big dick put away ur p.ussy/
upo nje ya mfumo, 16barz yako imejaa utumbo/Ma mc mnanuka uvundo coz mnaflow zilizochacha/
Mafundi mafundi mchundo pia mna ndoto za alinacha/
Vina vina matege mistari ina kwashakoo/
Utadhani fix za lege wakati akiitwa njoo/
Dokta mistari tiba a.k.a panadoo/
Natema mistari miba mpaka nawashwa na koo/
Form1 wa siku zote nataka kuwapora point/
Kiokote naokota zote sibakishi hata sent/
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ubarid wa glas, unapojazwa na bia/MMU cheers, JLW pisheni njia/
Intelligence they're in fear, realy nigga igniting this Rap gear/
Shots on shots, when you see me you go crazy/
Post after posts, bitchs are shouting let me busy/
I be directs, when I shoot you nigga/
I be threat, on my 4.44 like jigga/
Concrete jungle, guerrilla war out in JF /
Like Solomon's temple, in my mind burying you is only I have/
Nipo mbele saana buda, pembeni nimechili na mtoto hudahh/
Wee kipururu hata demu huna, mistari umecopy ona mashavu yamekushukah/
Mzee hii Mitindo huru usije ukanimind
Machizi mnaoleta bifu naweka kwenye jokofu/upo nje ya mfumo, 16barz yako imejaa utumbo/
Sikilizia huu mkuno, JF makanjanja wengi chunga dogo usifuate mkumbo/
Mi ndiyo mkali wao, muulize Valentina atakuambia Daby babalao/
Nakupa mgao wa bao lisikilizie angalao/
Chunga zao sio zao hao, fao langu lapanda dau ama zao hao /
Unataka kuchana au kuimba kama kombaSijui kuimba naomba msaada
Naiita two in one, ila bado hazikabi beki /Machizi mnaoleta bifu naweka kwenye jokofu/
Kweli me mdogo kiumbo ila mistari ina minofu/
Macho yako yanachenga tozi nunua king'amuzi/
Fataki nkitimba jf nakuona unajamba ushuzi/
Sometimes nachil kimya nahifadhi makali store/
Nyie mnaotaka kupima ndo hua nawakaba koo/
Sina ukhaligraph japo wananiita babayao/
Nikiwa muhogo mchungu je utakua nyamayao/
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ubarid wa glas, unapojazwa na bia/
Dem wako nampa pas, japo cna rupia /
Me ndo yule ras bla nyas, but nawafungia pazia/
Dem wako gogo zgo mbogo, ni bora ukajfia/
Hatuli ndogo au chogo, dogo panua tulia/
You better stay drink dompo, when you watch khalifa mia/
Am best in this tempo, all galz call me dia/
watch out dimpoz Daby , am gonna burn you with rays/
InnaNaiita two in one, ila bado hazikabi beki /
mapozi yenu ya nainai, sio sumba wala Tanga Daby halogegi /
Sitetereki nipo imara, jipangeni MMU , la wakubwa mpaka la siasa/
Keyboard nimeishika bila papara, jipangeni huu ndio muda wa kuwapapasa/
Mi ndiyo tycoon, nawapeleka mombasa kama falcon/
Tena I'm The Boss, mtanashati zaidi ya Hance/
nawaona Nyani dizaini Ngabu, kaeni mbali mi ni Asprin babu/
Bila utata namwagika, sina utata kama nyuzi za Monicca/
Mnafyumu kama mnapumu, hii taarifa wekeni dada zenu mbali na Kaboom /
Mtakatifu wananiita Saint Ivuga, natangaza ndoa na Inna mtoto wa arachuga/
Sitafuti kama miss, ila na element za ki-chagga cash sipendi kuzi-miss/
Kila napopita wananiita, mshindi ndiyo mimi muulizeni emmyta/
Mkuu daby,,, nakukubali sana mkuuu !! Mimi hii kitu ya uimbaji ilinipita mbali !! Ila hua nafurah kumuona MTU anaimba hususan free style za hip hop !! .Naona unapita kwa mapozi, mwendo madoido step za kwasakwasa/
Haha mkuu nilishazeeka... zamani nilikuwa napenda ku-rap saana. Ila sasa hivi nabaki ku-rap humu JF tu mzee.Mkuu daby,,, nakukubali sana mkuuu !! Mimi hii kitu ya uimbaji ilinipita mbali !! Ila hua nafurah kumuona MTU anaimba hususan free style za hip hop !! .
kitumie vema kipaji chako.
Hahahahha aya bana mkuu ,,Mimi naendelea kufuatilia sana huu mpambano ulomo.Haha mkuu nilishazeeka... zamani nilikuwa napenda ku-rap saana. Ila sasa hivi nabaki ku-rap humu JF tu mzee.
Nikifanya mtaani nitaonekana kichaa maana ni sawa na magufuli aanze kucheza mpira na awe na dream za kucheza la liga.
Naona unarukaruka kama umemeza kitenesi/Naiita two in one, ila bado hazikabi beki /
mapozi yenu ya nainai, sio sumba wala Tanga Daby halogegi /
Sitetereki nipo imara, jipangeni MMU , la wakubwa mpaka la siasa/
Keyboard nimeishika bila papara, jipangeni huu ndio muda wa kuwapapasa/
Mi ndiyo tycoon, nawapeleka mombasa kama falcon/
Tena I'm The Boss, mtanashati zaidi ya Hance/
nawaona Nyani dizaini Ngabu, kaeni mbali mi ni Asprin babu/
Bila utata namwagika, sina utata kama nyuzi za Monicca/
Mnafyumu kama mnapumu, hii taarifa wekeni dada zenu mbali na Kaboom /
Mtakatifu wananiita Saint Ivuga, natangaza ndoa na Inna mtoto wa arachuga/
Sitafuti kama miss, ila na element za ki-chagga cash sipendi kuzi-miss/
Kila napopita wananiita, mshindi ndiyo mimi muulizeni emmyta/
Daaaah yan sijaamin huyu mdogo kama anachana verse hiviii
Mm ndio Nilimfundi Sha, Angelia post za nyumba utaona nilivyochana hadi Max akanipa 5 star.Daaaah yan sijaamin huyu mdogo kama anachana verse hiviii
Hahaaahaa wapare kwa kujisifiaa hatarMm ndio Nilimfundi Sha, Angelia post za nyumba utaona nilivyochana hadi Max akanipa 5 star.
Afu staki kutajana makabila. Ibwe iliHahaaahaa wapare kwa kujisifiaa hatar
Basi nsamehee sirudii[emoji19]Afu staki kutajana makabila. Ibwe ili