JF Hip-hop frestyle battle

Mistari imekupa mimba,pole mama kijacho//
Kidume ndo nishatimba,nakupa dude kalale macho//
Hili ndo chaka la simba,kidali poh! kalale nacho//

Saimbora wa ben paul,na wewe eti unataka ubingwa!//
This is so fun pal...funny gal,hivi umetingwa//
Mi bishoo kweli tena bishololo kidume....//
We ni mpiga show tu yan chakula ya mume//
 
Nikidemostrate machizi, wanacopy kisha wanapest/

Nikk akasema Put X on verse, wanadhani wao ndiyo the best/

Naponda raha ile kichizi, safari mobb kesho natimba Budapest/

Dogo una hasira za mkizi, njoo nikupet huku umelala kwa mychest/

Sitetereki nipo wima, kama milima ya usambara/

Linasokota fanya hima, hilo tumbo lako la kuhara/
 
Eti budapest!!.....leo buda mkushi nakupeleka gest//
Hata kifua chenye chuchu chest....i enjoy ya test//
Mi niko na garden love,
we una chest yenye ziwa saa 6 baab//
Wit ya dimple shavu,
ndomana kwa bed nakuchapa kavu//
 
Eti budapest!!.....leo buda nakupeleka gest//
Hata kifua chenye chuchu ni chest....i enjoy ya test//
Hahahaha
Binafsi nakumumunya, kama pipi jojo/

Muulize hata lufunyo, Daby ni Mtu wa fujo/

Narap namna hii, wee ukirap hauvutii/

Unavutika kaa manii, nakulegeza wee nanii/

Nipo mbele saana buda, nakuacha unachanja mbuga/

Wapo walosema I couldn't dat, ila nawadatisha tu kwa lugha/

Kama kaniki unachuja, mziki mnene naija to Abuja/
 
Usipanic bro,uwezo ndo unaongea

Sintoacha kuwakaba koo,ka jamuhuri na kesi ya babu sea

Sijakosea ,kwenye ground am the best player

members wanaongea,yakua nawakosha ka tamthilia ya kidedea

Tahadhari,the gas ni jina la hatari

Linabomoa majabari,na kuwashusha wanaojiita wakali




Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Tulia nikupe dozi
Ya TB we kikohozi//
Me mc jinamizi
Nakusumbua kwenye njozi//
Kuchana umeanza juzi
Kiufupi hauniwezi//
Pambana na hali yako
Uache ukikojozi//

Acha kelele mc mzembe
Nipe mistari sio vijembe//
Vya kaisari mpe mwakyembe
Beba msumari nkupe wembe/
Me muhimbili we mirembe
Chukua bangili ujirembe//
Nenda salon wakupambe
Ukashiriki ulimbwende//

Worzaaa

Heavy Weight
 
Usipanic bro,uwezo ndo unaongea...

... hatari

Linabomoa majabari,na kuwashusha wanaojiita wakali




Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app

Mzee baba umefanya freestyle na tecno y3,

Umesogeza pua nakuchapa kama star Bruce lee,

Mistari dada urembo mwingi walimbwende Blu 3,

Unajitahidi kukaza nakulegeza kwa mistari tata ka hii,

Nina michano baba yako mama ipitishe kushoto,

Hiki kichwa kimevurugwa kabla ya kujulikna msokoto,na msoto,

Unaotamba nao wakati we mweupe ka kiparangoto,

Songa ugali tule, ruka ruka hpa kipigo hevi utarudi shule,

Kichwa chako boksi sipokei hata nikigewa bure
 
Sijali me lexus ,boot oversize
Nakuja kitandawazi, hadicore mwanaume kaz
Nisharuka viunzi,vitanzi na maneno ya kipuuzi
Kama ulikuwepo jana basi ulikwishaiona juz
Kama hip hop imekuudhi,kajimix kwenye blues
Me ndio shina me ndio mzizi
Nnayeongoza hili jahaz
Masterplan nyonga fasta
Kuna mandata wanatufwata
Wakizusha tu mavita
Tunakata tu mambata
Me swadakta nshadata
Nanyonga,nakata nanata na beat fasta
 
Mzuka umeshuka kupandishwa tena kazi,

Battle imeboa imepoa imejaa marapa viazi,

Mashairi soft na ya kukopi kama ya Biashara Jazz,

Na free hard go hard sina habari ka Jua Kali na Kiasi

Mistari yako shit mvuto F katuni za Shedi Kilasi,

Gusa unase nikubandue ndiyo ujue hapa umeingia sipo,

Nakupa rhymes tamu ruka nazo go tell ur people,

Am a freestyle God popote ulipo nipo...
 
Naona unatafuta kinyesi kwenye shimo la Choo/
Jpo sio nzi ila anopheles Njaa imekukaba Koo/
Hapa Pabaya nitakuvunja kiuno we Mr nice Me ndio Dudubaya/
Mkuu wa kaya on fire we yaya me Baba ubaya/
Usizingue umechenguka kitambo NishawehukA/
Una cat walk km Odemba ama watoto wa kipemba
Sema "hujatulia" Ray c na temba kitambo washanena km Papa wemba/
Twende mtoko nikununulie karanga na ubuyu we Mtoto
Nikupe show sokomoko km ni mapacha umuite na wako Doto/
Ushanichafua nakupenga ka kamasi kwenye Pua/
Njoo single ama kikosi nina Barz zisizoisha km isiDingo so utaDunda km Utosi...
[HASHTAG]#KiDogo[/HASHTAG]


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Napita wananzengo, soon nitadondoka na songi LA kisukuma
 
Mc mkakati
Mbabe zaidi ya chino,
Usilete ukorofi,
Home nacheza zumo
Uthithubutu kunidis,
Sije vunjwa meno,
Nakupara kama ngisi
Mtoto wa kilatino
Beti zako zote nyepesi,
Zaid ya mate na wino,
Moyoni mwako mie rais
Mie mbabe wa kino. hahahaha nimejaribu kidogo
 
Haya ndo maajabu ya tecno y3 /Kuwafunika fake rappers namna hii

Kwa elimu ya mtaa nina degree/Kwa uandishi nmetukuka ka Dr chacha mwenye phd

Utabaki kua twicee ,CO ntabaki kua me/nazd kutupa mawe ya mistar mana game now iko under me

Waambie hawatoweza,hata wakiandika kingereza/ nmejitosheleza,nna flow zenye uwezo wa kuchange weather



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi lyrics tamu ka mwanafunzi na kitabu cha Nyangwine,

Kimistari huniwezi njoo tushindane kwingine,

Rapa mchovu up hoi nipo hai nipo high hizi swaga usipime,

Nililegeza nati za wenzako hawataki kuniona tena,

Umeuvagaa mziki kaza lyrics mi nakukaza we learner,

Unaandika shit huna hit vina chenga kama hoja za Werema,

Nimepunguza dozi hauniwezi niquote niongeze tena
 
Nawafukuza jukwaani ka mna mimba darasani,
Hakika hamrudi mi ndo junior magufuli,
Nawapa free style huku simu vyeti vote feki,
Naendeleza hii game kama ragga na nesta,
Natafuna big G kama kocha wa Manchester,
Mnapoona komenti wote mnapata mapresha,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The gas ni bad number/mamluki hamruki kamba

Mnaobeep nikipga mnadai ni wrong number/tetele sikuvizii naku alert kwa pumba


Cna muda wa kuuliza who is real ,who is fake/ukinisnitch nakukill kwa rhymes kudadeki

Am more than heavyweight makonde ka mywather/jilete nikupakate ka marlow ntakubembeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kubipu huu mzuka ni wa kifurushi cha mwezi,

Nimeupandisha kazi moja ni kuwakalisha mandezi,

Nna ugumu mi mgumu na huu ugumu hua sibembelezwi,

Show tata mistari kazi hili sebene watoto hamchezi,

Rapa feki mistari fyongo jina boya eti Chlorine Gas,
 
They call me blac street niga/

Nnae mwaga floo ata ukizba/

Sio bch snich or king kiba/

Jst a disease without tiba /

So young boy just take it easy /

Before i take ur ass busy/

radiation big dick put away ur p.ussy/

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…