The gas jina ,uwezo mkubwa ka waves za katrina
Mtonyo sina,ila flows zangu znavua bikin wakina tina
....
Post sent using JamiiForums mobile app
Nakutia kapuni,we muhuni mwenye mistari ya kichinaThe gas jina ,uwezo mkubwa ka waves za katrina
Mtonyo sina,ila flows zangu znavua bikin wakina tina
Wanao nijua wanajua am the best rapper
Kama jini anayatisha basi niite makata
Hakuna utata
Hawa kinda nawapakata
Daby usinifananishe mana sifanani nao
Mana wao wana copy swaga na viwalo vya dada zao
Habar wanayo
Wanavyo hate mi nakaza natoboa mpaka pande zao
Call me mfarisayo mwenye uchu na ushuru
Akya Mungu ningekua takukuru ningekua kigogo zaidi ya beno nduru
Ukitaka kua maarufu,basi mdis gas
Rapper mwenye kura turufu,hata nikiua sipati kesi
Post sent using JamiiForums mobile app
Mida ya wakubwa oohNaona wengi mnaunga lines km mabehewa me nDio kichwa/
Naficha walio hai mpk ambao hawajawa Vijusi/
Mpo nDani ya makazi me kichuguu nyie Mchwa/
Tukutane maktaba wengine mtahisi haya ni Matusi/
Punches Sober House nakupa Antidote uache usumbufu km Mouse/
Sioni mshinDani kiunDani naona Pumba na kuku BanDani...
[HASHTAG]#Chaap[/HASHTAG]
Post sent using JamiiForums mobile app
Kupenda bila uwezo ni kazi bure joh,it's a poor jobNawave kama blow
But nimejipanga/
Nawadatisha kwa hizi flow
Game nimejitoa mhanga/
Hii battle naweza
imurder na cough" Koh"/
Hizi Chenga mnazocheza
Ila mii nawachop/
nawatupa magereza
Saini atatia The Donchop/
Nawashangaa mnaonigeza
Wakati hamtawazi mnapopoop/
JF sina mpinzani
Wote bado maminor/
Tena bado mpo gizani
Nawamulika kwa simu za China/
Uwezo wenu ni kama nyeti
Nawafunua nitakavyo/
Wengine mmefoji vyeti
Vichwani hamnazo/
Vina hamjui kuseti
Zaidi mnarap mipasho/
Hakuna cha kubeti
Ushindi ndicho kitu nitakacho/
Vile nawasha fireKupenda bila uwezo ni kazi bure joh,it's a poor job
Mi ni rap God kwa tasnia bob,the rap science coup
Venye hurap very dope,look! naku-murder kijangili baab//
You! punda....alokuteach rap hujua mi ni nunda,
Ndani ya kufuli kama nyeti nakusunda....mwali nakufunda,we ni tunda//
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Mtoto mbona povu jingi?,kwenye rap dogo mi ni dingi/Vile nawasha fire
Itabidi uvue leather/
Venye nawasha kaya
Napuliza kuchange weather/
Kidume unaona haya
Navyokuchenjua kwa smelter/
Kiukweli nipo true
Ila wewe lair mulize mpaka Wahuu/
Kwangu weka mikono juu
Mwendo wa mateka kama umekunywa valuer/
Nadrop bullets niggah
Tena timer kama jigga/
Kidume unarap au unaimba?
Ushajiuliza why tunapagawa na mafigure?/
Unajitutumua, ila keyboard imeloa jasho jingi /Mtoto mbona povu jingi?,kwenye rap dogo mi ni dingi/
Ninachokijua huna misingi,unarap katuni mboyoyo mingi/
Unajisifu eti unavuta bangi,tena mbele ya mimi rap mangi/
Naona unakunya me Naharisha tega mikono nikupe Haja/Mida ya wakubwa ooh
Kijana lala urefuke//
Kupenda kupiga chabo
Utakuja upofuke//
Tandika kilago
Lala kisha jifunike//
Lala sasa dogo
Kesho mapema uamke//
Unasema tunaunga lines
We hauna hata paragraph//
Swagga zako harmonize
Zangu me ni kaligraph//
Me kwako oversize
Coz mziki wako rough//
Niite jinamizi
Nakutafuna kama ndafu//
Aaagh
Heavy Weight
WorzaaaaNaona unakunya me Naharisha tega mikono nikupe Haja/
Mkali Bars zinajidhihirisha uko Ng'ambo nakuvusha kama Daraja/
Kafanye Battle chekechea hapa nahisi Nakuonea/
Upumzike kwa Amani Maana ushatutoka ktk Hii fani/
The illest kwenye Scene Nameza wabovu km ww mithili ya meli Baharini/
UkishinDwa kusumbua hautowinDwa tambua sijakaza UshapinDa NikidinDa utajilaza...
yaap
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji109] [emoji109]Worzaaaa
Huu ni msitu wenye mashimo
Sio kichaka cha nyasi//
mbwa mwitu mwenye meno
Sio sungura au fisi//
Nang'ata wenye maneno
Kama wewe conscious//
Kimziki we ni mdogo
Shika leso utoe kamasi//
Wewe unaharisha
Me ndo dawa ya cholera//
Jaribu kubisha
Ngariba nkufanyie tohara//
Kwa vina natisha
Nawakilisha masela//
Mlaini ukijipitisha
Lazima nkupige ngwala//
Aaagh
Heavy Weight
Asubuhi ishafika beki tatu amka//[emoji109] [emoji109]
Ki baharia zaiDi...
Heavyweight ila lines zko Feather weight/Naku"Zoom" kwenye Fight nikuweke kwenye Sight/UShapotea kwenye night huwezi toka bila Light/Niko sick kwenye Skills we tafuta kick km Abby skillS/Huu uwanja wa machinjio we mfugo anDaa mbio/Nanyonga Wavivu km ww nawaanika juu ya kichanja
Haujui mbichi wala mbivu huwezi kua sungura Mjanja...
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Asubuhi ishafika beki tatu amka//
Kwanza ushapika chai na kufua mashuka//
Boss naenda kazini
Fanya usafi chumbani//
Safisha hadi uvunguni
Jioni pika biriani//
Worzaaaa
Heavy Weight
We mhudumu lete chai vitafunwa lete nyama nina mori ka Masai/Asubuhi ishafika beki tatu amka//
Kwanza ushapika chai na kufua mashuka//
Boss naenda kazini
Fanya usafi chumbani//
Safisha hadi uvunguni
Jioni pika biriani//
Worzaaaa
Heavy Weight