We fala una kelele, lakin ni mcee uchwara .chalii umekwisha leo umekutana na ninja anayemiliki bahari ya michano
kuna mc na mbwatukaji we ni kibweka uliyevamia game rudi kwenye dance ukate viuno
hii haiko copy na kupest soon utaflot kwangu ni ngazi kwa ngazi mi ndiyo dokta kwako lazima nikung'oe jino
nakuchapa stick ya michano we ni dent kwa hii tasnia na unamalazi kibao kimwili unumwa gono
Huu ubongo mkubwa we ni shida hadhi yako Kayumba,ulikutana na fake mc wenzako kwangu we ni manzi
nakutafuna mchana kweupe mpaja utapata ganzi
hizi si shit nakupa i have a more flow kaisome kwa coliganzi
wananiita creater wa world wide kwangu we ni wife njoo nikuteach ku use your eyes bila lenzi
welcome to my city we ni kid uvae nepi hapa sinaga habar za kishenzi
am so big i think capacity ya ubongo wako ni kiwango cha siafu ama inzi
Naona umerudi chimbo umeenda kujikusanya,ulikutana na fake mc wenzako kwangu we ni manzi
nakutafuna mchana kweupe mpaja utapata ganzi
hizi si shit nakupa i have a more flow kaisome kwa coliganzi
wananiita creater wa world wide kwangu we ni wife njoo nikuteach ku use your eyes bila lenzi
welcome to my city we ni kid uvae nepi hapa sinaga habar za kishenzi
am so big i think capacity ya ubongo wako ni kiwango cha siafu ama inzi
umeishiwa mainstream niache mi nitambe mwenye big dreamHahaha naona unatunga tarab tata kazi kubwa za Mwamvita,
Umetutumia picha kazi kubwa Martin Kadinda,
Flow zako hovyo zangu zipo hot, mistar yangu moto mitam ka juis ya kijoti,
Flow tata kali huzielew na mwendo wa samasoti,
Flow zako kijeba haizkuti zangu ni ngongoti.
bora uwe mcheza bolingo kwa falii ipupaWe fala una kelele, lakin ni mcee uchwara .
Naona una kipele, sasa subir uone tunavyo kupara.
Sijui hata una freestyle nin, ungelala ukuwe.
Umepoteza marinda nini, unachekesha ujue
ha haa[emoji15] unanisikitisha kumbe hauchani ila unaimbaHuu ubongo mkubwa we ni shida hadhi yako Kayumba,
Kaa hapo tulia shuhudia mistari ninavyoiumba, nimekutega umeingia sasa unayumba,
Hua siflow bure hapa nalia mingo mavumba, nina itikad za kibabe hayo mavumba ya kwangu labda Jovitha anikabe,
Flow za suicide hapa anangoja kamikaze, ngoja nikupigie zeze, una kiuno lain baby inuka ucheze.
Kwa hivi vina vya ugoko wewe pumzi ishakata,umeishiwa mainstream niache mi nitambe mwenye big dream
hauna chako na verse zako kiinua mgongo unaishia kukrean
nasikia dogo unajichubua always face yako kwa kioo unajicreem
kwa battle nami mje kama wew alfu na hamtoniweza hebu kalambe ice cream
mim dad kwako kama unabisha go back at home kisha muuliza your mom
nilishacheza naye michezo ya hatar mixer kumbadili dini kutoka christian kuingia uislam
asalam aleko mi ni P.I.M.P wananitii mpaka maghost we kiraka dont blame
Una mashair mepes, kama basi wew ni you tong.Yeeeaa nakuja ulingoni kunyakua ushind bila bond/sina pupa wala maringo kam vile mondi nimejzatt naweza kkvunja mbavu kam omondi/mamluki wanachuki kwa vina nawaacha uchi/cna beef nawatt wadgo mafogo mtakalia mkuki/madem wanaelew show zang kwan hukawii kutoka mknoni na chup*/ama ganstar nigger mda wte nawaza salari siogop pga dili za hatar/
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanabgu umeniacha umekuja na style za bilinge baiyoyoYeeeaa nakuja ulingoni kunyakua ushind bila bond/sina pupa wala maringo kam vile mondi nimejzatt naweza kkvunja mbavu kam omondi/mamluki wanachuki kwa vina nawaacha uchi/cna beef nawatt wadgo mafogo mtakalia mkuki/madem wanaelew show zang kwan hukawii kutoka mknoni na chup*/ama ganstar nigger mda wte nawaza salari siogop pga dili za hatar/
Kwa kuwa umekembetwa basi utawafunika haswaaa, sina wasiwasi na mbarikiwaMkuu niweke kwenye list kabisa, lazima niwafunike 😀 😀 😀
Dogo pumzi ishakata kila kitu utamaliza, mara kuchana mara kuimba mi nazidi kukuumiza,ha haa[emoji15] unanisikitisha kumbe hauchani ila unaimba
na haujui tofautisha kuimba na kuchana kweli we ni mshamba
unakuja kifua mbana pua nimegundua upeo wako urefu wa kimba
we kinda mwenye hips don lie nasikia washakupa mimba
sigusiki mi developer rapper ila bado sijajianika we utabaki shika mkia mi ndiyo namba moja namba
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji119] [emoji111]
Mkuu unamdanganya mwenzako.Kwa kuwa umekembetwa basi utawafunika haswaaa, sina wasiwasi na mbarikiwa
sidaiwi siishiwi nimegundua we ni bonge la mdanandaKwa hivi vina vya ugoko wewe pumzi ishakata,
Unaleta utoto kunibishia mimi kaka, unatoa maboko mistari ka Harmorapa,
Hebu tuliza mshono wenzako mikia ilifyata, unatoa povu la omo ka mzee wa kilalacha,
Nina utajiri wa flow usitarajie nitachacha, nakupiga matobo mpka ujifunze kudaka,
Mistari yangu laghai zaidi ya bonge la paka, wenzako wananiogopa hawataki hata kuniita,
Una deni langu la freestyle 3 hebu anza kulipa.
Dogo nakukumbushia deni, bado hujamalizana na mimi,[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanabgu umeniacha umekuja na style za bilinge baiyoyo
mpaka nimekupa like kwa huo mtiririko inabidi ukaloge kwa babu bwagamoyo
jinsi ulivyokuja kwa nginja nginja bin vuu hicho ulichokiandika inabidi tittle iitwe poyoyo
au siyo mzee wa lomolomo nakukubali umekuja kwa mikwala kama pikipiki ya toyo
dah sio siri umenifurahisha sana askali jinsi ulivyokuja nduki nduki duh hata break ila gud ha havhaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
unajitamba una ubongo mkubwa wakati una ufinyu wa mawazoHuu ubongo mkubwa we ni shida hadhi yako Kayumba,
Kaa hapo tulia shuhudia mistari ninavyoiumba, nimekutega umeingia sasa unayumba,
Hua siflow bure hapa nalia mingo mavumba, nina itikad za kibabe hayo mavumba ya kwangu labda Jovitha anikabe,
Flow za suicide hapa anangoja kamikaze, ngoja nikupigie zeze, una kiuno lain baby inuka ucheze.
Natia tofa baada ya tofa kila ukitikisa mguu,sidaiwi siishiwi nimegundua we ni bonge la mdananda
game umelivamia chukua ushauri bora uwe konda
ili maisha yaendelee inabidi upambane watakuja kukula tenda
inaonyesha wapenda mteremko watakushoot wanaodinda
bado sijaona mshindani mi ndiye wenu king nishawashinda
umekurupuka from no where kwa huvyo vimistar vya kudandadanda
i told u nigger tokea last am your dad wew utabaki kuwa kinda
soon utafukiwa chini nishakuandalia jeneza lako na sanda
R.I.P fake mc hii ni levo ya expendable yako ya master igo kwa flow we ni soft kama mlenda
kichwa changu chimbo tosha sura kama bi kidude mmefanana mule muleNaona umerudi chimbo umeenda kujikusanya,
Rudi tena na utumbo uone ninavyofanya,
Nikutandike fimbo uache kunifata fata,
Mistari inameremeta cheki inavyowaka waka.
Narudi ulingoni tena kwa mala ya pili round hii nakuchapa k.o ili ukiri/mi ni zaid yako mwenyew unatii level zangu kufka lazma upge bidii/nakuacha na bp next tyme ntakuua kwa tb...nigger huwez bifu mtaani naitwa chifu/kajiunge na chibu warembo uwaxifu..apa ni..[emoji379] [emoji95] [emoji95]Una mashair mepes, kama basi wew ni you tong.
Haujuu kupanga verse, habar zako zina hang
Kwanza dogo fahamu, unapo dis watu kuwa na nizamu.
Wew kibaka mwendawazim, utatiwa ndole upunguzwe hamu.
Umekuja kwa mbwembwe, ukazan tutashituka.
Kumbe kichaa wa milembe, nasikia umetoroka.
Nyie ndio mnao fanya, mpka mvua hazinyeshi.
Mara zote nime kukanya, ukizingua sikulembeshi.
Wew ni level za chura, na snura wamajanga.
Sikujua ni mbulura, potea unachelew kuwanga
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app