arusha in life ni mkoa wacha nirudi kwako castr wakujipodoaBaba umetunga mistari halafu mdada amekausha,
Mti mgumu wa msonobari kaza labda utauangusha,
Inna ona noma hebu acha kujizungusha,
Saint Ivuga kakukubali anataka uwe mamushka,
Mwana anataka mfunge ndoa fanya kumpa ruksa,
Unga ushemeji na Daby mkakutane Arusha.
kumbe humu kuna wapenzi mapenzi kovu la duniaInna sasa ndio nini kipenzi.? Au una mpango wa kunianzishia thread kabisa kunijibu
mi ni dar boy naona umeamua kuniletea ukatuniWe mzee vip, mbona unaleta ushamba.
Verse za ku unga unga kama nyuzi za shanga.
Huu uzi haukufai, rudi kwenu kolomije.
Unatuletea mapicha picha, umechunda unaseje.
Najua unanyege zakujibu, we njoo tu.
Ila sitojar una aibu, mi ntakuchana tu.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Eti we ni dar boi, fu** kwangu we ni dar toi.mi ni dar boy naona umeamua kuniletea ukatuni
we ni zombi maisha yako si kwa hii dunia inabisi urudi mzimuni
naupunguze kunywa gongo,chang'a
ona sura inavyochange unakuwa kama mama zaituni
naona unaunguza figo na bandama viungo vyote vipo hoi tumboni
we ni maskini njaa tena chizi la mtaa hata ulichokiandika hakina madini
we level zako za vikojozi asubuhi umekurupuka koja umelimwaga unatia aibu mtaani
kubwa zima iloo hauna mantiki leo unajifunza battle kwa king lusematic don
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
mkuu mbona hukunipa taarifa ya battle hii?Mwaka juzi kulikuwa na battle ya Mitindo huru humu jukwaani ila baadae sijui yaliishia wapi. Huu uzi ni mahususi kwa mashindano. Na kwa kila mwaka mshindi atakuwa ana be updated hapa.
2015 nilikuwepo mimi Daby magnifico Kaka Jambazi Benny Kaboom gwijimimi chlorine gas na wengineo nimewasahau. Taratibu za kushiriki comment jitaje utashiriki then tutapanga round za battle hadi mshindi apatikane. Mshindi anapatikana kwa kura za watu watakaokuwa wanafuatilia. Mimi nitakuwa mwongozaji. Tunataka Mitindo huru sio mistari iliyokwisha kaririwa.
Demo:
natoa kali ya mwaka
Keti kitako uniskie/
MMU leo inatia shaka
Dent wamejaa kawasikie/
Wengi stori zinatia shaka
Still wanashauriwa nakina Shunie/
Nobody could do it
The way I get it up/
I ain't stop til
HR666 na wenzake wasup/.
Keyon Mkwawe dumesuruali kanali mstaafu oscarsolomon b5-click dutty pk life coach CHE Raptino
Karibuni au sio.. tudumishe utamaduni sio. Kama unashiriki sema. Mashabiki karibuni pia.
Fresh haina noma asante kwa kusogeza sura,bosheni si ndipo ulipoishia mazee hauna kitu bishoo ni bora think twice siyo level zako
ushazoea vaa tetemente mi gun mashine bwana mdogo nakubi k mpaka unapoteza soko
unabebwa unalelewa bado mtoto mpaka udenda na mikojo inakutoka kwenye pot kujaza mafuriko
next time nitakuvesha wigi na skuna uweze kupendeza mama sita nikupeleke mexiko
you how i do girl i will marry u kwa flow kwenye boti vip uku mnyamwezi nikivuta kiko
hauna uwezo am your bro since ushow your verse nikacheka kwa dharau na leo nakubatiza jina nitakuita sokomokoView attachment 499634
haaaa haaaa haaaa mkuu nipo kimtindo ngoja na mimi nishushe yanguHahaha unachana na wewe jembe?
Ebwana hapa umefika mi ni king wa hiz swaga,arusha in life ni mkoa wacha nirudi kwako castr wakujipodoa
mi ndyo jembe bob nakuchana mwanzo mwishovmi kisiki huwezi ning'oa
kama vipi njoo ghetto nikupe miti kwa hii baridi dar siku nzima leo ni mvua
check text kwa hyo sim yako nimekutumia nauli kwa mobile service usisite kutokea
napata raha we ndiyo qeen pliz usiniangushe i biliv huu ujumbe unakufikia
hey daby msisitize castr aweze kuibuka kuna bonge la zawadi nimemuandalia
ha ha wacha nicheke tu castr she is beautiful siyo mchoyo ndiyo maana namfagiliaView attachment 499639
Taarifa ya battle ushapata, acha kujizungusha panda ulingoni fasta,mkuu mbona hukunipa taarifa ya battle hii?
Hahahahaha dogo unachekesha hii mistari yako shit,mi ni dar boy naona umeamua kuniletea ukatuni
we ni zombi maisha yako si kwa hii dunia inabisi urudi mzimuni
naupunguze kunywa gongo,chang'a
ona sura inavyochange unakuwa kama mama zaituni
naona unaunguza figo na bandama viungo vyote vipo hoi tumboni
we ni maskini njaa tena chizi la mtaa hata ulichokiandika hakina madini
we level zako za vikojozi asubuhi umekurupuka koja umelimwaga unatia aibu mtaani
kubwa zima iloo hauna mantiki leo unajifunza battle kwa king lusematic don
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
kujivunia lazima we mzembe ndiyo maana upo kimya hauna pointEti we ni dar boi, fu** kwangu we ni dar toi.
Unajivunia dar, akati wazawa hat hawakujui.
Nyie akina harmolap, ivi lini mtakuwa.
Umekuj kwa ahsante mkapa, lakin unajifany unajua.
Mistari yangu venom, inakuuwa we bishoo.
Unaish dar na unanuka shida, ngoja nikusonye nyoo.
Mtoto wa mjini hawez kuw na shobo hizo.
Ila ukiw wakuja, ndio huwa mna huo uozo .
Nakuchana huku nacheka, yaani hahaha.
Nakuona jins unavyo tweta, we ni bongo lala
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
chalii umekwisha leo umekutana na ninja anayemiliki bahari ya michanoFresh haina noma asante kwa kusogeza sura,
Ntakuchana utakoma dogo wewe mburula,
Punch wala mizani huna, nakusukuma na shobo za bitch ka Fatuma,
Za kunitumia picha, naona unawanga sana umeamua kujipitisha,
Freestyling natisha, wewe zako tarabu nenda kaungane na Isha.
[emoji15] nakushangaa ray c may be nikuite castr c kunatetesi we ni kigoliEbwana hapa umefika mi ni king wa hiz swaga,
Boniuso kakumega ila mi ni man fongo ushemej sinaga,
Sogeza kiuno nakulaga, baada ya miezi tisa utaanza kutaga,
Kiuno laini kama Shishi unagombea mabwana, tunga tarabu nyingi ukifika nakuchana,
Nakutibulia mipango mambo yako mchafu koge, hapa labda ukaloge, mdomo mrefu sura laini ka bi dada Kaoge,
Kwa hayo macho James Delicious kasingiziwa, nilichonacho ukikionja hautajuta kuingiliwa,
Wino mrefu unamwagika kama mvua, umetoka kwenye hii fimbo ndefu uliyotoka kuikalia.
Duu wew ni bora, kwa maboya, chek jins unavyo pwaya.kujivunia lazima we mzembe ndiyo maana upo kimya hauna point
kinyago kama mcheza viduku hauna power ndyo maana umelegea joint
we ni expire rapper unapambana na level za mc kaa kimya we bublish tena mint
unatafunwa na kutemwa leo nakuvesha shanga kiunoni nanakugeuza kama bint
hii sit umeidandia kwa mbele mi nipo juu yako mim boss wew client
we ni bonge la boya upo on foot kwa street kichwani umejivisha element
hata tukapanda kwa stage mim nitapata shangwe wew lazima utupiwe makopo yenye mikojo kwenye event
Tayari nishakushinda kwenye niche ya trash talk,chalii umekwisha leo umekutana na ninja anayemiliki bahari ya michano
kuna mc na mbwatukaji we ni kibweka uliyevamia game rudi kwenye dance ukate viuno
hii haiko copy na kupest soon utaflot kwangu ni ngazi kwa ngazi mi ndiyo dokta kwako lazima nikung'oe jino
nakuchapa stick ya michano we ni dent kwa hii tasnia na unamalazi kibao kimwili unumwa gono
ulikutana na fake mc wenzako kwangu we ni manziHahahahaha dogo unachekesha hii mistari yako shit,
Freestyle zinakupelekesha nakupa za uso unablid,
Kwenye vina unatetereka uko hovyo hauna wa kumzidi,
Kwa ubishi nakupasua wenzako walikubali,
Wakijua nipo wanakimbia huu uzi wa kufreestyle.
Hahaha naona unatunga tarab tata kazi kubwa za Mwamvita,[emoji15] nakushangaa ray c may be nikuite castr c kunatetesi we ni kigoli
nikaribishe matic nikufunge kwa wi-fi tena magori ya mbali
still nizame chini chini nitoboe yako ngome mi ndiyo mzungu wa meli
na inabidi uwe open ili nikija nikute sild kwa yako body ili nile raha kifahali
i told u like ma dem your face kama vanessa kwa bed unavyonesanesa i feal real