leo nimeamua kuacknowledge baadhi ya wanamajamvi ambao kwa njia moja au nyingine wamekuwa ni role model wangu tangu nilipoingia jf, ntataja baadhi tu ambao watawakilisha wengine kwenye majukwaa ambayo uwa napitia pitia
1. Science na Tech nampenda kumtaja chief-mkwawa
2. jf photos , natambua uwepo wa Mbuzi Mzee bila kumsahau Boflo
3. jf mmu, hapa uwa kuna mtu anajiita Mtambuzi
4. jf chit-chat kuna pipo kama Bishanga na wengineo
5. jf doctor, hapa siwezi kumuacha kumtaja MziziMkavu
hawa ni baadhi tu, waweza ongeza list
Aisee inakuwaje sijaona mafellow tablets klorokwini na panadol yakitajwa wakati haya ndo majembe kwenye jukwaa la Great Thinkers?? Ukiugua hatutakuponya wallah!!
Kwa kweli bora hata ndg Mtambuzi umeliona hilo jambo.
MtotoSix kuwapendelea vidume wenzako ndio nini?
Ina mana sisi akina dada hatuwapi 'stimu' ya kuingia ktk majukwaa?
Hv unajua kwamba bila sisi wanawake,wamama na wadada kuwepo humu Jf mngekuwa mnang'aa macho tu wenyewe kwa wenyewe?
Piga ua galagaza She ndo mulemule humu.
Tunaweka mgomo sasa humu Jf,tuone mtakavyokonda.
Mwezi mtukufu fellow tablet klorokwini hataki fujo kabisaWamepotea sana siku hizi.
Ye muache tu,
atalambwa bakora na kikundi cha She humu Jf.
Nyie wenyewe mnajua,bila sisi,hamjiwezi.
silaani chochote bana..
kila mtu anauchaguzi na uamuzi wake maishani.
wao ndio wanaoongoza kuwemo kwenye hayo majukwaa
na mi binafsi nakuunga mkono 120% .....
usema ukweli uliwataja hata mi nawapa "gold medal"
hongereni sana wakubwa.. keep it up great job
Aisee inakuwaje sijaona mafellow tablets klorokwini na panadol yakitajwa wakati haya ndo majembe kwenye jukwaa la Great Thinkers?? Ukiugua hatutakuponya wallah!!
madai yako hayatekelezeki..!!
Anaitwa nani vile? Lizzy?
kama ntawamention nyie kina gfsonwin, nyumba kubwa, BADILI TABIA, Kaunga, MadameX, Madame B, King'asti, jeneneke, cacico, farkhina, MwanajamiiOne, Lizzy, balaa litatokea coz wataibuka wengine ambao sijawataja ndo maana nimependa nitoe mifano michache tu, kama mliivyoona sio rahisi kuwataja woooote, ila bila nyie haya majukwaa hayatakuwa na raha kabisa. nawakubali sana hasa huyu Elizabeth Dominic
aahhhhhh Bishanga ..
si wastaarabu bana..
hajambo kabisa majukumu tu yamembana.. ukiwa na shida naye sana ntakuitia..
Hujambo weye?
Kesho wapi weekend? Karibu fyatanga.