SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
leo nimeamua kuacknowledge baadhi ya wanamajamvi ambao kwa njia moja au nyingine wamekuwa ni role model wangu tangu nilipoingia jf, ntataja baadhi tu ambao watawakilisha wengine kwenye majukwaa ambayo uwa napitia pitia
1. Science na Tech nampenda kumtaja chief-mkwawa
2. jf photos , natambua uwepo wa Mbuzi Mzee bila kumsahau Boflo
3. jf mmu, hapa uwa kuna mtu anajiita Mtambuzi
4. jf chit-chat kuna pipo kama Bishanga na wengineo
5. jf doctor, hapa siwezi kumuacha kumtaja MziziMkavu
hawa ni baadhi tu, waweza ongeza list
Pia kwenye Hall of Fame yako, umesahau kumtaja mpambaji maarufu kwenye birthdays nk, dada yetu afrodenzi
Last edited by a moderator: