nimekamatika mahali itabidi mjiaandae tu kunisahau mazima japo nashangaa hata hapa na nyie mmenisahau kabisa kunitag, ila najua kamanda upo humu utawanyoosha tu.
Huwa kuna maneno yanatumika sana hasa kule nyumbani kwetu Tanga kwamba "Msambaa mmoja havunji soko" hivyo uje tu bana sababu Party itakuwepo na kama ulivyoona watu kibao watawakilisha.

Madame B hapo juu sielewi mwarabu fighter kushikishana adabu n.k kwani kuna ngumi ukumbini au party?kama organiser post kama hizo report zitolewe kwa thread hii, not healthy at all.