Khe!!
Mbona vita sasa?
Alikulia chako nini.....
Itabido siku hiyo kazi ya ulinzi nimpe Mwarabu the fighter.
Maana naona watu mnataka kulipiziana visasi.
Wacha nikomae na box hapa kwa malkia,niwatakie kila la kheri kwenye party yenu,amani itawale na Mungu awalinde,Mungu akipenda in sha Allah next time i'll join u guys,
Good luck.