witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,750 Sep 14, 2018 #201 Raynavero said: Tutaondoka woteee!!! Click to expand... Naomba unibebe kwenye ile RANGE yako shost au utakuja na MASERATI?
Raynavero said: Tutaondoka woteee!!! Click to expand... Naomba unibebe kwenye ile RANGE yako shost au utakuja na MASERATI?
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,396 Reaction score 88,833 Sep 14, 2018 #202 Nokia83 said: Ila nawaomba wahudhuriaji msije kuja kufungulia nyuzi humu za kudhalilishana. Baada ya party ndio tutaanza kusikia mengi ya watu Click to expand... Washamba hawawezi kukosekana
Nokia83 said: Ila nawaomba wahudhuriaji msije kuja kufungulia nyuzi humu za kudhalilishana. Baada ya party ndio tutaanza kusikia mengi ya watu Click to expand... Washamba hawawezi kukosekana
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,294 Sep 14, 2018 #203 Mzigua90 said: Kijora cheusi shoo Click to expand... Apo sawaaaaaaaa. Ningekomaa kama visingeruhusiwa.
Mzigua90 said: Kijora cheusi shoo Click to expand... Apo sawaaaaaaaa. Ningekomaa kama visingeruhusiwa.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,565 Sep 14, 2018 #204 Don Clericuzio said: Party inaanza saa 10 jioni, ukikaa mpaka saa 3 unapata gari za Buguruni, then Chanika. Ila kuondoka saa 3 ni kama party itakuwa haijaanza. Click to expand... Fanya mchongo wa usafiri kwa ndugu yako hapa Laa sivyo nitaadhirika
Don Clericuzio said: Party inaanza saa 10 jioni, ukikaa mpaka saa 3 unapata gari za Buguruni, then Chanika. Ila kuondoka saa 3 ni kama party itakuwa haijaanza. Click to expand... Fanya mchongo wa usafiri kwa ndugu yako hapa Laa sivyo nitaadhirika
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,750 Sep 14, 2018 #205 baba swalehe said: Naomba niwe mpish mkuu ... Mi sina hela ... Ila nshawah mpikia obama .. Click to expand...
baba swalehe said: Naomba niwe mpish mkuu ... Mi sina hela ... Ila nshawah mpikia obama .. Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,065 Sep 14, 2018 #206 Raynavero said: Amkaa tu maamaa.... tunapaswa tudiskasii kama vyotew Click to expand... Tudiscuss hapa hamna bwana tutadisscuss kule sema dec nina safari ya msumbiji sijajua tarehe ya kuondoka
Raynavero said: Amkaa tu maamaa.... tunapaswa tudiskasii kama vyotew Click to expand... Tudiscuss hapa hamna bwana tutadisscuss kule sema dec nina safari ya msumbiji sijajua tarehe ya kuondoka
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Sep 14, 2018 #207 witnessj said: Naomba unibebe kwenye ile RANGE yako shost au utakuja na MASERATI? Click to expand... Hahahaaaa.....Ntakuja na Vogue bibieeee!!!!!
witnessj said: Naomba unibebe kwenye ile RANGE yako shost au utakuja na MASERATI? Click to expand... Hahahaaaa.....Ntakuja na Vogue bibieeee!!!!!
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,586 Sep 14, 2018 #208 RRONDO said: Mimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari. Click to expand... Sawa mkuu. Hope utasaidia kuifanikisha kwa namna yoyote ile, hata mawazo kwa waandaaji.
RRONDO said: Mimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari. Click to expand... Sawa mkuu. Hope utasaidia kuifanikisha kwa namna yoyote ile, hata mawazo kwa waandaaji.
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,750 Sep 14, 2018 #209 Da'Vinci said: Naomba unichangie usafir tafadhari Click to expand... Hakuna shida mkuu...
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Sep 14, 2018 #210 cute b said: Waoooh, naona tunaendana karibia kila kitu. Maana Mimi mwenyew hapa pombe sinywi na grand malt sinywi maana ni dalili za kuanza kunywa pombe Click to expand... Ubahali umeanza lini sho
cute b said: Waoooh, naona tunaendana karibia kila kitu. Maana Mimi mwenyew hapa pombe sinywi na grand malt sinywi maana ni dalili za kuanza kunywa pombe Click to expand... Ubahali umeanza lini sho
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Sep 14, 2018 #211 Shunie said: Shem ebu niache Click to expand... Aisee! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Shunie Ila hiyo siku naamini utakuwepo
Shunie said: Shem ebu niache Click to expand... Aisee! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Shunie Ila hiyo siku naamini utakuwepo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,065 Sep 14, 2018 #212 RRONDO said: Mimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari. Click to expand... Khaaaaa
Jabari XVI JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 1,225 Reaction score 1,676 Sep 14, 2018 #213 Mzigua90 said: Sio kwa JF hii mkuu. Unaweza kuta mpaka hiyo siku watu wako 20 Click to expand... Oh sawa mkuu
Mzigua90 said: Sio kwa JF hii mkuu. Unaweza kuta mpaka hiyo siku watu wako 20 Click to expand... Oh sawa mkuu
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Sep 14, 2018 #214 Mzigua90 said: Washamba hawawezi kukosekana Click to expand... Kabisaa Siku hyo sitakaa na shunie pamoja,mkwe usinijuee...tafadhali..cc wambekee!!siwatakiiii!!ntawakimbiaaa
Mzigua90 said: Washamba hawawezi kukosekana Click to expand... Kabisaa Siku hyo sitakaa na shunie pamoja,mkwe usinijuee...tafadhali..cc wambekee!!siwatakiiii!!ntawakimbiaaa
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Sep 14, 2018 #215 Mzigua90 said: Kwahiyo wanaume kirahisi kuvaa kwenu kilikua nini? Suti au suruali za vitambaa? Click to expand... Huyo najuana nae
Mzigua90 said: Kwahiyo wanaume kirahisi kuvaa kwenu kilikua nini? Suti au suruali za vitambaa? Click to expand... Huyo najuana nae
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Sep 14, 2018 #216 Mzigua90 said: Kwahiyo wanaume kirahisi kuvaa kwenu kilikua nini? Suti au suruali za vitambaa? Click to expand...
Mzigua90 said: Kwahiyo wanaume kirahisi kuvaa kwenu kilikua nini? Suti au suruali za vitambaa? Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,396 Reaction score 88,833 Sep 14, 2018 #217 Don Clericuzio said: BTW, waandaaji ningeshauri mtoe angalizo kuhusu kupon za vinywaji. i.e kwenye hiyo 30,000/- nakunywa vinywaji approx bia ngapi kwa rate ipi? Ili wengine tujue kama tuanze kunywa nje tuje kumalizia au tuje na balance sh ngapi kujazia patakapopungua. Click to expand... Hahahahahaa. Umetoa wazo zuri. Nadhani wale tutakaoshiriki siku hiyo tutakubaliana kabisa tunakunywaje. Maana huwezi muweka Shunie anywe sawa na Mimi atanipunja
Don Clericuzio said: BTW, waandaaji ningeshauri mtoe angalizo kuhusu kupon za vinywaji. i.e kwenye hiyo 30,000/- nakunywa vinywaji approx bia ngapi kwa rate ipi? Ili wengine tujue kama tuanze kunywa nje tuje kumalizia au tuje na balance sh ngapi kujazia patakapopungua. Click to expand... Hahahahahaa. Umetoa wazo zuri. Nadhani wale tutakaoshiriki siku hiyo tutakubaliana kabisa tunakunywaje. Maana huwezi muweka Shunie anywe sawa na Mimi atanipunja
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Sep 14, 2018 #218 Shunie said: Tudiscuss hapa hamna bwana tutadisscuss kule sema dec nina safari ya msumbiji sijajua tarehe ya kuondoka Click to expand... usianze hapaa...!!usijali dear tutadiskas kila kitu!!!
Shunie said: Tudiscuss hapa hamna bwana tutadisscuss kule sema dec nina safari ya msumbiji sijajua tarehe ya kuondoka Click to expand... usianze hapaa...!!usijali dear tutadiskas kila kitu!!!
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,910 Reaction score 130,011 Sep 14, 2018 #219 Don Clericuzio said: Sawa mkuu. Hope utasaidia kuifanikisha kwa namna yoyote ile, hata mawazo kwa waandaaji. Click to expand... Nitawasaidia kupambana na negativity.
Don Clericuzio said: Sawa mkuu. Hope utasaidia kuifanikisha kwa namna yoyote ile, hata mawazo kwa waandaaji. Click to expand... Nitawasaidia kupambana na negativity.
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,855 Sep 14, 2018 #220 witnessj said: Click to expand... Mkuu ... Daah ... Bora wanweke mpish.... Dah .... Yaan ... Ila unajua naweza kuwagharamia wote ... Sema nawaogopa wachaw
witnessj said: Click to expand... Mkuu ... Daah ... Bora wanweke mpish.... Dah .... Yaan ... Ila unajua naweza kuwagharamia wote ... Sema nawaogopa wachaw