Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
Freestyle bato, nazibato kwa dodoso,
emc kipaji zero,
kuchana huwezi waona so,
jifanye we mgumu,
nikutie dole kama nyoso,
ebwana da ushanjua mi mkali,
so stay fr0m magnifico,
yeah!
hahahahahahahaha....we unastahili UTIWE kwa P, Kinywele Kimoko!
Nipeni Key za hii battle,
Kisha na enter kwa style za pablo,
Sina haja ya intro jina langu nastahi
Nimekuja kuvunja kwa style za samurai,
Wala sioni hatari kugonga big g na chai,
Nagonga ndala na tai,
Nikizidisha sadaka church nadai,
Kwa milupo sifai, ooh yeah am so fly,
Najua mnakubali, Si Nguli si jabali,
Du mi mchizi hatari,Naposhuka mistari,
Vimeo na nakabiri,Nimeji pack na gun mbili,
Kwenye buti ya baskeli, Am a world wide milli,
Tusibishane kwa hili,
Navuta kila ganja,mavuzi naweka wanja,
Kisha natimba viwanja, nawaambukiza ujanja,
Ukinipeleka milembe, siku mbili nakuwa kiranja,
Sifanani ****, jela mi mnyampara,
Ka hizi sixteen bar, demu wako nampiga para,
Si masihara, zaidi ya fidel 80 napenda ku..ra
Kwenye doti weka fi, na sisitiza usafi,
aaaghr namaliza kwa stavi kisha nakula maviiiii!!!!!
man Nduka, unakurupuka
Mistari huna unabaki fokafoka
Toto la kiume ajeaje wanja unapaka
Kula mavi 'baga' tuachie tuliosanuka
Hizo Baga ni chakula cha mashoga,
Mtoto unavutia nakutia dole kupima oil,
Na sioni mbali, ukizidisha ukali nakutia viwili,
Umeparamia meli, sio ya wagiriki ni mchizi nduka,
Kabla hujashuka, nagutuka kisha nauzamisha,
Hiyo ni intro full auto utaipata kwa bio,
--------, ugumu wa mioyo, na roho za choyo,
Ndio mwiba uchomao, na kwenye jeraha na mwaga limao,
Ili ufanyao, kurudisha usichana, na kitu kinabana
Hii thread nimekaa nikaikumbuka,Battling is the basis for all rap music. The battle is the truest essence of rap and where rap music started. The object of a rap battle is to come up with insulting rap lyrics on the spot (not pre-written or pre-meditated) and rap them towards an opponent. The rapper with the best delivery, lyrics, and crowd response usually wins.
Learn to accept that it's only a vocal battle and there is no chance of you actually losing your life, surviving a rap battle is easier than it seems and happens to both contenders almost always unless a less traditional type of rap is performed, involving physical contact or firearms
Mfano tu....
Title yenyewe inajieleza namaanisha nini
Naanza na wewe uliyefulia kijana kloroquin
Mwanzoni nilihisi wewe mkali ka vile quinin
Kwa mashairi yako nimegundua sio makini
Ulijigamba ww ni tajiri wa vina na sio masikini
Nakusubiri kwenye next reply nione wako umakini.
Radical na Burn mko wapi kwenye yetu hii fani
Tuendeleee...
DISCLAIMER: MASHAIRI YOTE YATAKAYOPOSTIWA HAPA YATABAKIA MALI YA JAMII FORUM. COM.
Hahaha Preta njoo ujicheke huku ahhahaha dah!!wakuu nimewakubali
kwa vyenu vina vikali
kwa kuwa mnaona mbali
Ninyi nyote ni majabali
Mmechuana vikali
kuonyesha mnajali
hakika Jf ina marijali
Kila mmoja anawakubali
Yoyoyooo yeah yeah
Watsapp nigga muuza ugoroSup copy kittens/
I got style n my hustle z tighten/
I got an extra gun/
Nigga watch me poppin
Nguli wa Mitindo huru /Watsapp nigga muuza ugoro
Verse zako gwala mkali wa moro
Pilau nyama umekula kiporo
Komaa kihip hop basi mororo
Safi..Nguli wa Mitindo huru /
Bofya post za nyuma b4 sijakufuru/
Kwenye uzi kitambo/
Kabla ya magu kupandisha ushuru /
Waliniita dabo/
Daby nilibatizwa mods Nashukuru /
I never be scared/
By any emcee/
Nawashave kama beared/
Bitches get out of me/
I'm super humbled/
Kama lemutuz awapo ng'ambo/
Mwisho supermarket mambo! !upooo
Haha...Safi..
Yo yo..twende
Nipo nipo bado mkali wao daby dabo
Madem nakamua kweli chumbani sipigi chabo
Napoteza bongomuvi supastaa kama gabo
Uwezo mkubwa haupimiki sio nusu wala robo.
Hivi huu uzi ni wa nani,
Ni upuuzi tu wa mahayawani,
Tangu majuzi hamjajua mjuzi ni nani?
Sihitaji mic, nina kipaza
Na nnapaza sauti mpaka wa kwanza apige saluti,
Wasioweza wanipe tiki, wasiojiweza nimewalegeza kwa taching za mati.....T
Na skamatiki, jasiri wa hizi bato tangu naitwa mtoto,
Kiasili nina jando sio sweta lako bwa mdogo,
Na bado.....
Huwezi kuwa jigger level yako kiokoteHaha...
Bro raping was my dream
As drv life manager/
addicted on this game
Sihofii kuitwa teja /
Am Still leanin on this fame
Mpaka makoplo waniite major /
Na rep Jf
Tena Majukwaa yote /
They call me chef
Nameza Booth beat zote/
Na dream za Jef
Damn, bitch never qoute/
Shout out kwa maniger
Na ujumbe ufike popotee /
Pia kwa wanaoniga
Walai siwahofii lolotee/
Na uwezo zaidi ya jigger
Japo mtaani naitwa kiokote /
Instantly nadeliver ether /
Members wote wafu mods mjiandae muokoteeee/
We mtoto koma kabisa!Yoh!!yoh!!yoh!!
Nakung'ung'uta kama chelsea
Bao 4 kiwima wima
Huwezi kuwa jigger level yako kiokote
Mashairi nakupiga huniambii chochote
Kwa Verse za kuiga huwezi fika popote
Mashabiki wakuzuga hunifikii mi dangote
...............
Mimi ndo mrithi wa ngwea
Maskani zote wananijua
Show za MTV wananipigia
Pesa ndogo hailipi naamua kuwapotezea