Kuwa kipipa ni asili ya mtu HajarEti eeee. Ili niwe ka pipa. πππ
Ooh. Nimekuelewa sasa Sesten.Kuwa kipipa ni asili ya mtu Hajar
Wengine wala hawali sana lakini labda kuna mkale wake alikua mnene na yeye anarithi
Waweza kua unakula lakini wala hunenepi kiviile. Sasa sijui mama au baba yako ni wanene au waliwahi kua vibonge?
Kama ni hivyo basi waweza kuja kuwa kibonge hata kama ni uzeeni
πππWapiga picha wa siku hizi wanafaidi sana
Wanakula na kuvimbiwa kabisaπππ
Mafotomii wa siku hizi wankula sana kwa macho
Zamani kulikua hakuna fursa kama hizo mkuuWanakula na kuvimbiwa kabisa
Mimi nasemaje wanawake ni maua [emoji23][emoji23]
Mzigua90 I see you[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mzigua90 I see you[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu nasemaje ukitaka uamin ni maua, nipale unapopishana nao njiani hahahahha kama ni Mwanaume mkamilifu tu lazima Shingo ikuume kwa kugeuka geuka na kutabasamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi tena ni pambo halafu ni asali
Hahaha zama zimebadilika kweliZamani kulikua hakuna fursa kama hizo mkuu
Kuona maungo ya mwanmke ilikua issue, nakumbuka tulikua tunaenda kuangalia netball angalau tuone paja tu
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji322][emoji817][emoji123][emoji123][emoji115][emoji115]Mkuu nasemaje ukitaka uamin ni maua, nipale unapopishana nao njiani hahahahha kama ni Mwanaume mkamilifu tu lazima Shingo ikuume kwa kugeuka geuka na kutabasamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndomaaana Adamu aliona Unyonge baada ya kuona kila mnyama wapo wawili wawili.
Kiukweli, bila wanawanake Dunia ingeboa ingawa wanatuliza lkn 90% ni Maua ya macho, chakula ya akili na mwili[emoji23]
Mkuu hayo Mambo ni matam zaidi ya Mafenesi....unafanya kitu kma kina bounce[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee Hizi ndo starehe zetu kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi tena ni pambo halafu ni asali
Mzima ?Najiona kabisa yaani