JF female bash

Hahahaaa. Hata siutaki jamaani.
Kuna wengine wakila milo mitatu kwa siku mwili hauepukiki unakuja tu watake wasitake

Wala mara ngapi weye kwa siku Hajar vile? Ulisema mara tano sijui😎😎

Ila ubonge kama huuwezi mwili wako ni adhabu ujue
 
Hahaaa. Umeonaeee.

Sesten mie nala hasaaa. Hahahaaa. Eti eeee. Haya basi wacha nikomalie kamwili kangu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eti "kamwili" halafu weweeeπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜›
Ndio kamwili Sesten. πŸ™ˆπŸ™ˆ

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…