Mphamvu, we ni great thinker bwana. Hayo ma 'recreational forums' ndio unataka kupeleka on fb?
Peleka hata ya MMU basi. :lol:
Facebook agriiiiiiiiii*"!¥,&'#"*/¥#".........
POPOBAWA.
sawa.
Ila bado sijapeleka ninachokusudia kupeleka, kuna utata unajitokeza kuhusu matumizi ya ile fanpage.
Nikiweka mambo sawa, nitawawekea link papa hapa.
Sawasawa?
mhm?
Mkuu, kuna usalama kweli kwenye jibu lako? Kama sijiamini-amini hivi...
Sawa...!
mhm?
Mkuu, kuna usalama kweli kwenye jibu lako? Kama sijiamini-amini hivi...