Elections 2010 JF Exclusive: Election 2010 Results (General)

Status
Not open for further replies.
Asante mkuu. Kwa namna hii hakuna kuchakachua matokeo mwaka huu. MUNGU ni mkuu na atatenda jambo jipya Tanaznaia mwaka huu.
 
Nalala kwenye computer leo kila baada ya dk 15 nastuka nimeweka alarm after 15min inARING hakula kulala mpaka nijue inakuwaje leo...Mbuzi kachinjiwa baharini au jangwani leo kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....
 
Naomba nieleweshwe matokeo ambayo tayari yanaonekana hapa ni final au hajakamilika kwa baadhi ya vituo??
 
Asante sana, tupo pamoja mkuu. Kazi inapendeza sana, Hongera sana! Kaza buti.
 
Mkuu shukran kwa kazi nzuri... ikiwezekana tuwekee ramani ya tz yenye kuonyesha vituo na matokeo...
 
Mbona vyama vingine hakuna? Na matokeo mengine yashatoka lakini hayajawekwa?
 
Sasa mbona hamna key? Blue ni nini, na red ni nini?

Key ya blue na red ipo bana hata ukipeleka cursor yako hapo inakuonyesha ila mimi sijajua hizi namba nini? Ni idadi ya kura au idadi ya kata? Au majimbo?
 
Key ya blue na red ipo bana hata ukipeleka cursor yako hapo inakuonyesha ila mimi sijajua hizi namba nini? Ni idadi ya kura au idadi ya kata? Au majimbo?

Hata mimi sielewi kabisa. Ingekuwa vizuri wasema tu kama raw counts au ni counts in x100 au x1000. Vinginevyo sielewi.
 
Sasa mbona hamna key? Blue ni nini, na red ni nini?

Go back and investigate careful, Kila kitu kinajionesha. Error niliyoiona ni kwamba kura zinzooneshwa katika Colomun hazioneshi kuwa ni za Presidential au Ubunge? hapo haijielezi vizuri. But all in all Good Job has be done.
 
Jamani tutafutieni matokeo ya Bagamoyo kwa Shukuru Kawambwa walikotumia milioni 700 kwa matundu 4 ya choo, hali ikoje huko????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom