Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Kwanini kurasa hizo zinyofolewe? Mbona sijaona ubaya wake kwa upande wowote?
okay, nitaipata wapi?
Watch this spaceInvisible mkuu unasubiria michezo iendelee ndiyo utupie humu au utaiupload taratibu kuanzia usiku huu?
Mkuu wangu,Kwanini kurasa hizo zinyofolewe? Mbona sijaona ubaya wake kwa upande wowote?
hahahahah wamemfanya Invisible wetu aamke alikolala. Kabla ya jua kuchomoza kesho asubuhi hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe jingine.mkuu endelea kudondosha mawe tuna kesha kwaajili yako ujue
Naendelea kukufuatilia ndugu invisible naomba report yote iwekwe hapa tuijadili.kuepuka ulaghai WA maccm
invisible kanikurupusha , silali tena hapa.
Mkuu,invisible kanikurupusha , silali tena hapa.
lala mkuu
Katafute Tanesco boardpaper no 4533.We google tu.
Mkuu,
Pumzika; lengo si kuvuruga mwenendo wa Bunge bali kuwafanya wanaojaribu kufanya upotoshaji wafahamu kuwa nyaraka nzima ya ripoti ipo tayari kwetu raia na waache michezo yao.
Wawajibishane, kila mtu aubebe mzigo wake. Wanaowajibika na wawajibike; usanii wowote katika hili utachafua hali ya hewa pasi na ulazima wa kufikia huko.
Nadhani tusiendelee, tuliachie Bunge lifanye kazi yake
Mkuu,Invisible pls kwa hali ilivyo sasa nadhani hujuma kubwa zaidi zinaweza fanyika hata kukata mawasiliano ya mkongo wa taifa wa mawasilino, au hujuma nyingine zozote zitakazokwamisha mawasiliano.
Ni bora umalizie tu mkuu. Hali ishachafuka sana. Kuna uharamia wa miundo mbinu unaweza fanyika tutashanaana hapa mkuu. mi silali naisubiri kwa kweli. hizo page ulizoweka hazisisimui kabisa, wakati bado mnashauriana weka kwanza zile page zenye majina ya Payees.