Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,575
Tatizo watu wabishi sana....
But kwako inaweza kua pumba kwa mwenzio mchele mzuri tu! Tunatofautiana mkuu...
Hahahaha, ila kweli hiyo ilikuwa pumba
😀😀😀 ila maisha bana.Tatizo watu wabishi sana....
But kwako inaweza kua pumba kwa mwenzio mchele mzuri tu! Tunatofautiana mkuu...
Kuzingatia kwamba moja ya slogan za JF ni “where we dare to talk openly “ kuanzia sasa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu nitaweka hapa list ya post mbovu kabisa ( utumbo) zilizowekwa kwenye majukwaa mbali mbali hapa JF.
Lengo , kuwarudisha watu kwenye mstari wa Great Thinkers, na kuwatoa kwenye shimo la kupost vitu kwa kutaka teuzi, sifa za kijinga au mazoea
Mshindi- atapatikana kwa kura zitakazopigwa na wachangiaji
Nyingine mtazileta wenyewe
N.B
Dustbin awards hazitahusisha post za kimasihara na kusogeza muda kama ile ya kufanya mapenzi kimasihara na nyingine zote za kwenye Jukwaa la mahusiano/Mapenzi na la Celebrities.
1. Paschal Mayalla ...
Jioneeni wenyewe mashudu aliyoandika, akisisitiza Kigezo cha kupatikana kwa Rais kiwe ni ukabila , tena kutoka kabila lenye watu wengi.View attachment 1251694
Unaweza jiuliza if the said person was on drugs , ila ndivyo hivyo mwenzenu ndio anajiona katoa bonge moja la hoja , unajiuliza mtu kama huyu akipewa uongozi atafanya nini !!!
2. To be continued
Kiukweli jamaa alitoa pumba pure.
Dah...nitashangaa Sana kana Uzi huu hautaingia [emoji2960]Kuzingatia kwamba moja ya slogan za JF ni “where we dare to talk openly “ kuanzia sasa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu nitaweka hapa list ya post mbovu kabisa ( utumbo) zilizowekwa kwenye majukwaa mbali mbali hapa JF.
Lengo , kuwarudisha watu kwenye mstari wa Great Thinkers, na kuwatoa kwenye shimo la kupost vitu kwa kutaka teuzi, sifa za kijinga au mazoea
Mshindi- atapatikana kwa kura zitakazopigwa na wachangiaji
Nyingine mtazileta wenyewe
N.B
Dustbin awards hazitahusisha post za kimasihara na kusogeza muda kama ile ya kufanya mapenzi kimasihara na nyingine zote za kwenye Jukwaa la mahusiano/Mapenzi na la Celebrities.
1. Paschal Mayalla ...
Jioneeni wenyewe mashudu aliyoandika, akisisitiza Kigezo cha kupatikana kwa Rais kiwe ni ukabila , tena kutoka kabila lenye watu wengi.View attachment 1251694
Unaweza jiuliza if the said person was on drugs , ila ndivyo hivyo mwenzenu ndio anajiona katoa bonge moja la hoja , unajiuliza mtu kama huyu akipewa uongozi atafanya nini !!!
2. To be continued
ATTACH=full]1251692[/ATTACH]