Kuna siku umepata downtime notification hapa karibuni?
Ile haikuwa downtime, ilikuwa ni kuhamisha data na mlikuwa notified mapema kabisa!
Ya sasa ni kuwa hatufungi hata, ila kuna mtu anaweza kuwa anaandika aka-submit ikagoma kuonekana lakini aki-refresh page akakuta ipo, hivyo tuvumiliane kidogo tu... Dakika takribani 30 tu.
Dowans itanunulika, we ulie tu!