Gentleman,Kuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si outšµš¹, I feel lethargic na naona it's good to have a break. Also jf is taking a huge amount of my time, I need to find balance..
So leo itakuwa siku ya mwisho then kuanzia kesho, I'll be having some me time and my family, the people I take for granted. Na ndo wanijuao mimi kuliko online anonymous strangers.
So if na wewe unahisi kuchukua hii challenge, take it, this place can be addictive pia just like Instagram and other platforms...
Growth needs both recharging and participating.
Yeah ndivyo jf ilivyo , unasahaulika na ukirudi tunakupokea tu , kawaida mnoAHahaha au sio
naona unapiga mayowe baada ya kujigundua kua ni addict wa JF š¤£Kwani kuna yoye limepigwa gentlemen? š
are you sure?š¤£Actually mimi sio addict wa jf pekee niko mwingi tu online, ila nataka nichukue detox ya muda
I live my words mkuu na nikiyaweka wazi kama hivi huwa inakuwa obligation kwangu kuyatimizaUkiona unataka kufanya maamuzi ambayo unaweza kuyafanya bila kumshirikisha mtu yeyote na isiwe na impact yeyote ila ukaamua kushirikisha watu bas uwezekano wa kufanikisha hilo jambo ni mdogo, we njoo tu na ID yako nyingine acha kuzuga.
View attachment 3624339la niniiii miee la niniiii
sitakiiiiii sitakiiii š