Jf Couples (New Version)

Omg! Itabidi unipangie pango masaki! Ntapita wapi huku temeke si watanitoa roho?
Naomba hela ya kufungulia account, naenda kwa registrar anipe introduction letter ila itabidi aseme mie mfanyibiashara ya vito.
Nakutafuta, simu umeacha wapi manake inaita tu haipokelewi.
 
Yaani hata sisi wazee wenye kudumisha mila mmetusahau?

ODM a.k.a Babu Aspro na Kongosho, na nyumba zetu ndogo Blaki woman,(huyu ana mimba yetu) Lily Flower, (haka tulikabaka)Keren_Happuch (kwa hisani ya klorokwini), Firstlady,(huyu alijileta mwenyewe) Eliza wa Bunju,(tulimkamatia baa) Afrodenzi,(haka ndo katamu zaidi) Dena Amsi (mh) Obsesd (huyu yuko martenity ward, tulimchukua akiwa na mimba ya dreva wa treni) na wengine atawataja Kongosho asali ya ODM.

Bado kuna nafasi kwa wanaohitaji. Naanza mimi anamalizia Konngosho asali ya ODM.
 
hahahahaahhaah thread tamu kweli loohhh ntaendelea kusoma.. lol:A S crown-2::A S crown-2::A S crown-2:
 

hii nimeikubali....lakini hukusahaulika babu...hivi ZD ulishampa talaka...?
 

Hahahahahaaaaa aisee hii taarifa nzuri sana....
Lol endelea basi maana Konny sidhani km atakuja sasa hivi
 
Hahahaaa umeona hiyo kitu ya asprin?
Jitetee basi
Haka hatuna mpango wa kukaacha. Na atakayetuibia huyu mrembo tunamNasra wallah.
Afu nawe Afroie, nifanyie mpango basi unilishe limbwata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…