JF, Combo-Party. Twaomba Maoni Yenu

JF, Combo-Party. Twaomba Maoni Yenu

Hahaha...aisee hivi ulikunywa Govinda Kumar ngapi?


aiseee ulevi noma si unakumbuka siku ile ulivokuwa unanimimia migovinda na na miblack label
damn utakuta hata nilimkanyaga best next usinifanyie vile tena
 
We tushakuzoea. Safari hii naona utasingizia ziara ya Obama.

Hii Party isipofanyika shambani kwangu Bunju, mi msinitafute.

Tunaogopa kugongwa na nyoka huko Shambani.
 
Halafu mlikaa meza moja ujue...alipokaa lara 1

aiseee ulevi noma si unakumbuka siku ile ulivokuwa unanimimia migovinda na na miblack label
damn utakuta hata nilimkanyaga best next usinifanyie vile tena
 
Teh teh...zile sio siku za kurudi home shem...hata amu analijua hilo...

Kwahiyo kwa kifupi ile siku ulimlala mjukuu wangu amu? Haya nipe sehemu ya mahari fasta
 
Last edited by a moderator:
Madam B this time tunavaa nguo za rangi gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom