Habari zenu Memberz wote mliomo JamiiForums, ni matumaini yangu mpo vyema.
Mimi sijambo.
Lengo la Thread hii ni kusikia mawazo na michango yenu kuhusu Party iliyopo mbele yetu.
Kama mtakumbuka mwezi Januari tulifanya WHITE PARTY Pale Kebby's Hotel, Bamaga na tunashukuru kwani wengi walihudhuria wakiwemo wakuu Maxence Melo na Mike McKee ambao ni Founderz.
Haya, wadau Party ingine inakuja mwezi December hvyo karibuni na tunaomba tujadili.
Hili si lakujadili, sema mchango sh. ngapi na ni wapi???
naomba namba nitume hela.
ahsante
Mungu akipenda i should be there.
Mungu akipenda i should be there.
Ivi combo party maana yake ni nini!??
hivi mike mckee alikujaga white party?
Mkuu ukicount miezi wala si mbali, maana kumbuka kuna ishu za michango, kutafuta ukumbi, kufunga hesabu nk.
Si mbali.