KUNA MAHALI NIMEONA UMEANDIKA HV ikitokea tukataka ku sex lazma condom sijapima badouliza shosti
KUNA MAHALI NIMEONA UMEANDIKA HV ikitokea tukataka ku sex lazma condom sijapima bado
INA MAANA POLEE SHOST UPO TAYARI KUSEX NA WHOEVER ,WHEREVER?
kwani shosti mtu kamvuto kakiwepo lazima umbanjue mtu mdogo wangu? Nikuambie kitu?hapana. Nilsema hiv sbb twaweza kutana na kukawa kale kamvuto ka mwili ka kemikal. Kujiandaa tu shostito au nakosea?
kwani shosti mtu kamvuto kakiwepo lazima umbanjue mtu mdogo wangu? Nikuambie kitu?
pole sana kwa yaliyotokea mdogo wangu ila uko unapoenda sio.unadhani kwa kufanya hivo mwishoni utakuwa umerudisha furaha yako iliyopotea moyoni mwako shosti?nipo kny zoez la kutaka kushirikiana na hawa viumbe bila kuhsisha moyo wang ulo kufa ganz bada ya kundendwa. Nimesema kamvuto ka kemikal ka mwil shosti we niambie tu ucjal.
nipo kny zoez la kutaka kushirikiana na hawa viumbe bila kuhsisha moyo wang ulo kufa ganz bada ya kundendwa. Nimesema kamvuto ka kemikal ka mwil shosti we niambie tu ucjal.
basi shosti usifanye hivo mwili wako na maisha yako ni vitu vya thamani sana.kama usipojithamini wewe mwenyewe kwanza hamna mtu atakuthamini huku duniani utaishia tu kuumizwa dailyhata mm sielew ndo maana nataka jarib
basi shosti usifanye hivo mwili wako na maisha yako ni vitu vya thamani sana.kama usipojithamini wewe mwenyewe kwanza hamna mtu atakuthamini huku duniani utaishia tu kuumizwa daily
mimi nilipoachwa nilichukia sana nilikuwa nachukia wanaume hvohvo kama wewe ila nikaamua kutulia zangu na kujithamini,yaani utakuja kupata mara kumi ya ulokuwa nae
mwanamke uwezi kutafuta wanaume bwana tulia tu watakuja kama kumbikumbi na hapo utaamua udake yupi .
Chunga k yako.
najua inavouma my swit friend.mahitaji ya mwili yapo ila ni swala la kujipa mudahiv unajua inavo umaaaaaaaaaa? Unajua ushenz alionfanyia? Ctak penda tena ila mwil wang una mahtaj.
hata mm sielew ndo maana nataka jarib
hiv unajua inavo umaaaaaaaaaa? Unajua ushenz alionfanyia? Ctak penda tena ila mwil wang una mahtaj.
hv mwanamke waweza kuwa teja wa ngono eeeh?mahitaji ya mwili hayaishi lakini...ubaya wa sexmates inafika wakati anahisi anakumiliki,utakuwa huna uhuru na mwili wako na hiyo ndio mbaya zaidi...na haka kamchezo ka kutohusisha moyo ukikaanza tu hutotaka kukaacha..trust me..
hv mwanamke waweza kuwa teja wa ngono eeeh?
naona huko ndo mpolee anataka kwenda sasa hataritena teja mbaya sana..inafika wakati mdada huyo anahisi haiwezakani zipite siku 2 au 3 bila kuguswa. Na wa-design hiyo hawafanyi for money anafanya ili ku-satisfy mwili wake..atakuwa ana degree zake kadhaa za ku-flirt na ku-seduce mpaka anahakikisha anapata kile anachotaka halafu basi..ile wengine wanaamua kuingia kwenye contract na mtu kwamba kazi yao itakuwa ni ngonoka tu hakuna kingine....