Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

nawatakia heri na msimu wa sikukuu kwa wale wanao safiri msisahau kufunga mikanda,dnt drink and drive pia tuwe waaminifu kwa nafsi zetu,wenxetu na mungu
 
:amen::amen:

Sante sana kaka binamu

Uwe na msimu wenye baraka tete kuelekea 2014
 
Nawe pia kaka, sikukuu hii nitakuwa mitaa ya kantalamba na chanji.

dah mkuu nimepakumbuka sana aise
haswa mitaa ya chanji kwenda kula miwa aise ukitoka pala Kantalamba
Kuna father mmoja wa Moravian namtafuta sana aise alikuwa father wa vijana wakati tunasoma pale anaitwa Father Sikazwe ukimpata niambie mkuu
 
poa kaka nitakutaarifu nikifika na nikipata habari zake.
 
asante sana Mr Rocky,nakutakia heri ya ya Xmas na mwaka mpya. Chocs DEMBA Ablessed Excel Mzee Erickb52..nawatakia mwisho mwema wa mwaka..Mungu awalinde
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…