Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,380
Wana Chit Chat!
Msimu wa sikukuu ndiyo umefika sasa.

Naamini kila mmoja kwa namna yake ataenjoy na kufurahia sikukuu hizi.

Sasa kwa kupitia huu uzi, naombeni tupeane wishers zetu.

Wenye maua na mivuto mingine ya Ujumbe wa kiholidays!
Tupia hapa tufurahie pamoja.
Tupia hapa na salamu zako,
Za sikukuu!!

Marry Christmass and Happy New Year
2014..

http://www.xmasclock.com/
 
kiwatengu, mimi sina ujumbe wa kuvutia... ila na penda tutakiane afya njema katika msimu huu wa sikukuu na pia tuwatakie safari njema wenzetu wote watakaosafiri nje ya maeneo walipo kwa ajili ya mapuziko.

sikukuu njema...
 
Last edited by a moderator:
Sikukuu njema.......hivi zimebaki siku ngapi huu mwaka uishe wajamen
 

Merry Christmas and Joseph New Year to all!
 
Asante hommie Kaizer....
Nakutakia sikukuu njema...na mwaka uanze kwa mwanga wa matumaini! Asprin, Teamo, fidel80, Bigirita, MwanajamiiOne, Rose1980, Askofu, Maty, @GY, Kimey, The Finest nikumbukeni kwenye ufalme wenu....I mean I can definitely use a pint of beer from you!

Dark City, nakutakia mema mzee mwenzangu....sasa sijui ufanye mchakato tukawalaani wakazi wa Kigali???


 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu Kaizer
Heri hizo zikurudie na wewe na uwe na msimu mzuri wa sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya weney mafanikio na wenye baraka za Mungu
Kwa akina Arushaone, Erickb52, Nicas Mtei, Mentor, kiwatengu, Mamndenyi, Preta, Lady doctor, sweetlady, snowhite, King'asti, Heaven on Earth, Madame B, Zion Daughter, gfsonwin, AshaDii, sosoliso, mwallu, Mwalu, Paloma, Passion Lady, charminglady, Blaki Womani, Lily Flower, Chocs, amu, Husninyo, Dena Amsi Vin Diesel, Mkirua, TANMO, SIMplicity, stevoh, BAK, Jiwe Linaloishi, , Filipo, Bishanga, Asprin, Dark City, Paw, Invisible, Moderator, Mzee wa Rula, PakaJimmy, Mungi, RUTashubanyuma, Ruttashobolwa, nawatakia kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuingia mwaka mwingine wa 2014
 
Last edited by a moderator:

Kaizer sitaki kujua ni kwanini umeninyima salamu. Nakutakia sikukuu njema sana.
 
Last edited by a moderator:
Nawatakia wana cc wote sikukuu njema. Tumshukuru Mungu kwa kuwa bado tupo hai hata sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…