Happiest Birthday mdogo wangu mzuri ila mkorofi
KENZY Mungu azidi kukutunza daima..!!
Bora wewe umekula ugali, nakula viazi mbatata vilivyokaangwa na vinyama vidogo vidogo ambavyo sina hakika hata kama ni vya ng'ombe, shida ni kuwa nimejaziwa pilipili kama nakomolewa, niko hapa nalia lakini siachi..
Depal