angalia hapo kwenye kuandika komenti kwa chini pameandikwa "attach files" bonyeza itakupeleka kwenye store ya simu yako then utaenda kuchagua kama ni picha ama muziki ukisha selekti utaona una upload utasubiri umalize it takes seconds labda mtandao wako uwe low,ikimaliza itakuandikia neno insert click then post.