JF Chat: All members chat

Kula unaposikia njaa tu ,wewe unakula ovyo ovyo nakujua, mhm kitambi ni ugonjwa.
ni hovyohovyo sio ovyoovyo!!!!!!!!!

kula si tu kula bali pia anakula nini muulize anakula nini... kama anataka kupunguza kitambi apunguze kula vyakula vya wanga.
 
ni hovyohovyo sio ovyoovyo!!!!!!!!!

kula si tu kula bali pia anakula nini muulize anakula nini... kama anataka kupunguza kitambi apunguze kula vyakula vya wanga.
Nikila vyakula vya protein bila wanga sishibi
Nikwambie kitu watz wengi tunakula ili tusife
Familia ina watoto 10 mnakulage protein tupu hadi mshibe hela itaenda nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…