hakuna kitu kivipi kwanza sasahivi tuna wachungaji wakisasa akina uwoya! yani mchungaji tu ukimuangalia pepo la ukorofi linakushuka!.. ukiombewa na yule hata pepo halipigi kelele na linatoka kiustaarabu sio mpk mrushiane ngumi .π