Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.
Say hi to everyone and every time we will be there.
My dear, ungekuja tu na ID yako ya siku zote. Hii ya juzi kwema?
Nakuelewa na nakubaliana nawe, japo ungekuja na ya siku zote, ningejua nikujibu vipi. Na pia sijajua ni kichaa yupi maana tunao wawili πππππππ