Mkwe ebu kua na msimamo! Mwanamke ni bahari au sio?Huu ujumbe, ila sipo sirias saana.
Naomba umtunze saana mwanangu.
Mke ni Kama bahariMkwe ebu kua na msimamo! Mwanamke ni bahari au sio?
Ndio maana nakukubaliπ€ΈMke ni Kama bahari
Sjanywa mbege leo mdogo wangu sijui kaka yangu sijui baba ,πππ
ππ sio rahisi kuwa baba , kaka wala mdogo kwako , unakunywa mbege kwani ni wk leo?πππππ.Sjanywa mbege leo mdogo wangu sijui kaka yangu sijui baba ,
Heee weekend tu ndio ya kunywa mataputapu sio mi nakunywa kila siku mdogo wangu wa mwishoππ sio rahisi kuwa baba , kaka wala mdogo kwako , unakuja mbege leo kwani ni wk leo?πππππ.
Siwezi kuwa mdogo wala mkubwa kwako ma urassaπ.Heee weekend tu ndio ya kunywa mataputapu sio mi nakunywa kila siku mdogo wangu wa mwisho
πππNdio maana nakukubaliπ€Έ
πππ€£Leo ndio nimejua kumbe JF kuna watu ni maboya sana. Hivi inakuwaje unapenda show off za mambo yaliyo nje ya uwezo wako? Na mpaka mtu anapost picha ambayo sio yake, lengo ni nini? Hajikubali au?
Upumbavu first grade huu.
Mwenzako napenda amani, ugomvi hata siwezi..!Naona wale walikuwa wanaleta uswahili jana wamefutiwa vijimaneno Yao humu ππ€£
Ukiona mtu mkorofi muweke ignore list dada yangu au report kwa mods si umeona jana wale wapiga kelele walivyofanywa ππ€£Mwenzako napenda amani, ugomvi hata siwezi..!
SawaUkiona mtu mkorofi muweke ignore list dada yangu au report kwa mods si umeona jana wale wapiga kelele walivyofanywa ππ€£
Humu Kuna watu wana matatizo sana yaani ππSawa
Ila wengine hawanaHumu Kuna watu wana matatizo sana yaani ππ
Ndio si umeona jana mwenyewe yule mwanaume anae jifanya ni ππIla wengine hawana