JF Chat: All members chat

Unaona sasa, me nilikwambia mapenzi huyawezi waachie wenyewe๐Ÿ˜‚ utakuja data bure
Nayaweza mi mbona lejendari! Kupigwa vya ubavu hilo ni swala la Mambo mbalimbali tu.๐Ÿ˜…
 
Bado mkuu hapo nasubiri vigezo vikitimia hapo napigania vigezo viwili.
Hivi na Twitter inalipa au ndo nililishwa matambala..?๐Ÿ˜‚
 
Nayaweza mi mbona lejendari! Kupigwa vya ubavu hilo ni swala la Mambo mbalimbali tu.๐Ÿ˜…
Hahahaa wacha tuone kama mtadumu sasa๐Ÿ˜›๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Hivi na Twitter inalipa au ndo nililishwa matambala..?๐Ÿ˜‚
Hapana mitandao mingi ya kijamii watu wanatumia kujibrand ili wafahamike iwe rahisi kufikiwa na wateja wao. Lakini pia huko labda ufaidike kwa Directly Adsence (self advertisement) yaani matangazo yako binafsi mfano kampuni fulani liku face ili ulitangazie biashara yake huko.

Mfano kama Millard Ayo anavyo tangaza matangazo ya Palm village
 
Hahahaa wacha tuone kama mtadumu sasa๐Ÿ˜›๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Nakuhakikishia tutadumu mi master hutasikia kelele za kimeumana..
 
Kwanini usiamue kufanya hivi..?
 
Kwanini usiamue kufanya hivi..?
Hapo ndio kujitafuta kwanza maana Mtu/Kampuni kukuomba uwafanyie Advertisement hapo wanaangalia na public figure yako hapo ukiwa Maarufu au na wafuasi wengi shavu hilo litakuangukia.

Na hapo na mimi bado najitafuta siku nikifanikiwa kuwa na public kubwa basi itakuwa rahisi sana kupenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ