Kuna siku nilienda mgahawani kula nikakuta movie ndo imeanza ni ya zamani mdada ni bongeee basi hadi marafiki wachumba hawamtaki kisa ni mnene
Mpaka mtaani kwao wadada watatu watauliwa na msamaria mwema aliyetaka kumsaidia huyo dada kisa anayanyasika na kua kitufee
Anayejua jina la hii movie aniambie nikaiangalie tena nifarijike🤔