Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,915 Aug 15, 2024 #3,581 ephen_ said: 😂hiyo kuombana elfu 3 nahisi ilikua ni trend tu, sababu wakati ule tusi lilikua ni kuambiwa umeomba elfu 3 Click to expand... 🤣🤣🤣Nilimwonea mpaka huruma
ephen_ said: 😂hiyo kuombana elfu 3 nahisi ilikua ni trend tu, sababu wakati ule tusi lilikua ni kuambiwa umeomba elfu 3 Click to expand... 🤣🤣🤣Nilimwonea mpaka huruma
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Aug 15, 2024 #3,582 To yeye said: 🤣🤣🤣Nilimwonea mpaka huruma Click to expand... Hata mimi!😂 ila ile ya jana nahisi hukuiona watu tulivunjika mbavu nikikumbuka nacheka
To yeye said: 🤣🤣🤣Nilimwonea mpaka huruma Click to expand... Hata mimi!😂 ila ile ya jana nahisi hukuiona watu tulivunjika mbavu nikikumbuka nacheka
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,915 Aug 15, 2024 #3,583 ephen_ said: Hata mimi!😂 ila ile ya jana nahisi hukuiona watu tulivunjikambavu nikikumbuka nacheka Click to expand... Ilikuwaje?
ephen_ said: Hata mimi!😂 ila ile ya jana nahisi hukuiona watu tulivunjikambavu nikikumbuka nacheka Click to expand... Ilikuwaje?
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Aug 15, 2024 #3,584 To yeye said: Ilikuwaje? Click to expand... Subiri aje nimwambie aandike kama alivyoandika jana cz uswahili mtupu sikumbuki vyote halafu uzi umefutwa😂😂
To yeye said: Ilikuwaje? Click to expand... Subiri aje nimwambie aandike kama alivyoandika jana cz uswahili mtupu sikumbuki vyote halafu uzi umefutwa😂😂
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,915 Aug 15, 2024 #3,585 ephen_ said: Subiri aje nimwambie aandike kama alivyoandika jana cz uswahili mtupu sikumbuki vyote halafu uzi umefutwa😂😂 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣Ngoja aje
ephen_ said: Subiri aje nimwambie aandike kama alivyoandika jana cz uswahili mtupu sikumbuki vyote halafu uzi umefutwa😂😂 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣Ngoja aje
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,992 Reaction score 48,493 Aug 15, 2024 #3,586 ephen_ said: 😂wewe ashawahi kukuanzishia thread? enzo akee ananichekeshaga mnakaa vizuri unashangaa anaanza kuchokoza mtu kama jana ule uzi wa vocha alijua kunivunja mbavu mkewe anamkoma😂🙌 Click to expand... Kwani umeenda wapi kulichachuka nn Maana Jana nimelala mapema
ephen_ said: 😂wewe ashawahi kukuanzishia thread? enzo akee ananichekeshaga mnakaa vizuri unashangaa anaanza kuchokoza mtu kama jana ule uzi wa vocha alijua kunivunja mbavu mkewe anamkoma😂🙌 Click to expand... Kwani umeenda wapi kulichachuka nn Maana Jana nimelala mapema
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Aug 15, 2024 #3,587 Aaliyyah said: Kwani umeenda wapi kulichachuka nn Maana Jana nimelala mapema Click to expand... Yes BL alisema ameongea na mods waufunge sababu haukua kwenye hali nzuri tena
Aaliyyah said: Kwani umeenda wapi kulichachuka nn Maana Jana nimelala mapema Click to expand... Yes BL alisema ameongea na mods waufunge sababu haukua kwenye hali nzuri tena
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,992 Reaction score 48,493 Aug 15, 2024 #3,588 ephen_ said: Yes BL alisema ameongea na mods waufunge sababu haukua kwenye hali nzuri tena Click to expand... Ooh sawa
ephen_ said: Yes BL alisema ameongea na mods waufunge sababu haukua kwenye hali nzuri tena Click to expand... Ooh sawa
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Aug 15, 2024 #3,589 Aaliyyah said: 😍msogee wapenda Nazi wenzangu View attachment 3070857 Click to expand... Hiyo mboga ipi ya majani? Inavutia sana☺️
Aaliyyah said: 😍msogee wapenda Nazi wenzangu View attachment 3070857 Click to expand... Hiyo mboga ipi ya majani? Inavutia sana☺️
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,992 Reaction score 48,493 Aug 15, 2024 #3,590 ephen_ said: Hiyo mboga ipi ya majani? Inavutia sana☺️ Click to expand... Figili
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Aug 15, 2024 #3,591 Aaliyyah said: Figili Click to expand... Msosi unaonekana ni mtamu sanaa! Hapo mimi niwekee ugali na pilipili😋
Aaliyyah said: Figili Click to expand... Msosi unaonekana ni mtamu sanaa! Hapo mimi niwekee ugali na pilipili😋
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,768 Reaction score 86,455 Aug 15, 2024 Thread starter #3,592 ephen_ said: Msosi unaonekana ni mtamu sanaa! Hapo mimi niwekee ugali na pilipili😋 Click to expand... hata mpishi inaonekana atakuwa ni mtamu sana!
ephen_ said: Msosi unaonekana ni mtamu sanaa! Hapo mimi niwekee ugali na pilipili😋 Click to expand... hata mpishi inaonekana atakuwa ni mtamu sana!
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Aug 15, 2024 #3,593 KENZY said: hata mpishi inaonekana atakuwa ni mtamu sana! Click to expand... 🙌ulivyosema hivi nikakumbuka lips zake☺️
KENZY said: hata mpishi inaonekana atakuwa ni mtamu sana! Click to expand... 🙌ulivyosema hivi nikakumbuka lips zake☺️
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,992 Reaction score 48,493 Aug 15, 2024 #3,594 ephen_ said: Msosi unaonekana ni mtamu sanaa! Hapo mimi niwekee ugali na pilipili😋 Click to expand... Nakupikia ugali 😃
ephen_ said: Msosi unaonekana ni mtamu sanaa! Hapo mimi niwekee ugali na pilipili😋 Click to expand... Nakupikia ugali 😃
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,992 Reaction score 48,493 Aug 15, 2024 #3,595 KENZY said: hata mpishi inaonekana atakuwa ni mtamu sana! Click to expand... Salamaleko
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,768 Reaction score 86,455 Aug 15, 2024 Thread starter #3,596 ephen_ said: 🙌ulivyosema hivi nikakumbuka lips zake☺️ Click to expand... nipe namba zake damu inichangamke!
ephen_ said: 🙌ulivyosema hivi nikakumbuka lips zake☺️ Click to expand... nipe namba zake damu inichangamke!
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,768 Reaction score 86,455 Aug 15, 2024 Thread starter #3,597 Aaliyyah said: Salamaleko Click to expand... mwaleko.. mambo mtoto..?
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Aug 15, 2024 #3,598 KENZY said: nipe namba zake damu inichangamke! Click to expand... Kwamba wewe ni domo zege au humuoni mwenyewe?🤔
KENZY said: nipe namba zake damu inichangamke! Click to expand... Kwamba wewe ni domo zege au humuoni mwenyewe?🤔
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,992 Reaction score 48,493 Aug 15, 2024 #3,599 KENZY said: mwaleko.. mambo mtoto..? Click to expand... Mwaleko🤣🤣🤣 Hujambo
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,260 Aug 15, 2024 #3,600 Aaliyyah said: Nakupikia ugali 😃 Click to expand... Yeah nipikie nguna! Wali sijui kwanini unanishinda kula
Aaliyyah said: Nakupikia ugali 😃 Click to expand... Yeah nipikie nguna! Wali sijui kwanini unanishinda kula