Magimbi mchemshoUmekula nini leo?๐
Maini utachagua ya kuroast au kukaangaaaNini nini?
Za asubuh madamNdo Ivo๐ค
๐ฃhatuwezi kukaa nyumba mojaMagimbi mchemsho
Sielewi aiseeee,nilala nikaamka nao naona page error.Naona Uzi wetu pendwa umefutwa jana kilitokea Nini nilikuwa offline ๐ญ๐ญ
Mbona hapa pako vizuri tu mkuu?Tumekosa pa kwenda kupiga misele sasa.
Kweli mkuu,tatizo mcheza kwao hutunzwa.๐คฃMbona hapa pako vizuri tu mkuu?
Vocha zinaleta ugomvi mkuuKweli mkuu,tatizo mcheza kwao hutunzwa.๐คฃ
Ni uelewa mdogo tu wa watu fulani fulani ndo unaleta yote hayaVocha zinaleta ugomvi mkuu
Kweli mkuuNi uelewa mdogo tu wa watu fulani fulani ndo unaleta yote haya
Sio kwema๐Kwema humu
๐คญNini?๐
๐Mbona hajaniambia mhusikaKwamba anataka kukuoa tangu uachane na Lucas
Ningeanzaje wakati nakuona na Vincenzo Jr ๐ค๐Mbona hajaniambia muhusika