Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,882
- 82,090
Unataka kijana apande mnazi
Usikute kajifungia chumbani anafanya yakeUnataka kijana apande mnazi
😂🤣😁😁😁Usikute kajifungia chumbani anafanya yake
Hii inamfaa min akee
Bando langu lisipoisha leo sijui🙌
Polee uwe unatumia postpaid bando ya haloteli,voda, AirtelBando langu lisipoisha leo sijui🙌
Acha nitafute helaPolee uwe unatumia postpaid bando ya haloteli,voda, Airtel
Ukizipata uwe unatumia unlimited bando achana na hizi bando za kupimiwaAcha nitafute hela
Nitafanya hivyo tajiri!Ukizipata uwe unatumia unlimited bando achana na hizi bando za kupimiwa
Ndio yupo shuleNitafanya hivyo tajiri!
Mdogo wako wa kike mzima?