Enjoy๐ฅNgoja nipoe na hii
๐๐Enjoy๐ฅ
Seyi shay sidhani kama atakuja imba wimbo mzuri uliotulia kama Right now โบ
Hawezi! Tokea 2017 hajatoa hit kuzidi hiiSeyi shay sidhani kama atakuja imba wimbo mzuri uliotulia kama Right now โบ
View: https://m.youtube.com/watch?v=yG-UEOGUXx0&pp=ygUTcmlnaHQgbm93IHNleWkgc2hheQ%3D%3D
Mimi huwa napenda mziki ila hata sijuagi nan kaimba๐คชHawezi! Tokea 2017 hajatoa hit kuzidi hii
Sema mimi napenda remix yake ili nisikilize base ya Teyana
Ila phina unamjua๐Mimi huwa napenda mziki ila hata sijuagi nan kaimba๐คช
Ndio๐๐๐Ila phina unamjua๐
Mshindi wewe!๐Ndio๐๐๐
Ubaya Seyi hajawahi pata ile reign kama Tiwa au Yemi ila ni the baddestHawezi! Tokea 2017 hajatoa hit kuzidi hii
Sema mimi napenda remix yake ili nisikilize base ya Teyana
Hii nitasikiliza kesho kwa nguvu! Nilipo watu wamelalaWimbo mwingine wenye mahadhi ya sweet reggae na taste ya dancehall
View: https://m.youtube.com/watch?v=4Tk9IMIheh0&pp=ygUVU2F1dGkgc29sIHRpd2Egc2F2YWdl
Nikutumie singeli ili wakiamka waanze kucheza na wewe ๐๐Hii nitasikiliza kesho kwa nguvu! Nilipo watu wamelala
Watanipiga๐Nikutumie singeli ili wakiamka waanze kucheza na wewe ๐๐
Watanipiga๐
๐๐๐๐ kama unaishi na wababe. Tulia tu EpheWatanipiga๐
Wababe halafu mimi ndo mdogo kati ya wote๐๐๐๐ kama unaishi na wababe. Tulia tu Ephe
Ndio zina vibe๐Unapenda singeli๐๐๐
Mmmh hizo nyimbo gani na weweNdio zina vibe๐
Wewe kama hujui kucheza singeli tuliaa!Mmmh hizo nyimbo gani na wewe
Wacha uteseke ๐๐๐Wababe halafu mimi ndo mdogo kati ya wote
Mimi nakucheza wapi na wapi๐๐๐Wewe kama hujui kucheza singeli tuliaa!
Unasema nyimbo gani kumbe hujui kuzicheza