Kitimoto kila siku? Ndio maana haupungui wewe๐๐Nimekumiss! Kitimoto lini
๐ฃTuongee habari za US! Nishaanza kupanga nguoTutaongea usijali ,tupia ngoma basi
Miss you too.Nimekumiss! Kitimoto lini
Kausha nipo kidimbwi wewe๐๐๐ฃTuongee habari za US! Nishaanza kupanga nguo
Unanidanganya wewe muongomuongo๐Kausha nipo kidimbwi wewe๐๐
Natafuta ndugu maenje huko nikazamie๐Miss you too.
Hicho kitimoto kimeshapepea yani hapa tufikirie new year maana huu mwaka tunaforce sana hadi mwaka wenyewe unatushangaa kama tupo kwenye right mind. Bongoo kweli bora uondoke ephe๐๐
Weuweeee! Kumbe tupo US ila hapa hatuko free kubonga!Tupia ngoma siwi huru kuzungumza hayo bhana๐๐๐
Unaweza zamia bila hata ndugu andaa m 10 tu kabla hiyo pesa haijakata kupata kazi ni chapNatafuta ndugu maenje huko nikazamie๐
Tafuta tu scholarship au umuombe ushauri mange jinsi ya kupata mubaba wa kizungu. Mbona chaap ๐๐Natafuta ndugu maenje huko nikazamie๐
We furahia tu maana unaweza kukuta min -me ni dealer wa figo na kongosho kutoka Africa. Unaenda US kutafuta maisha ila mwisho wa siku unampa mtu mwingine maisha๐Weuweeee! Kumbe tupo US ila hapa hatuko free kubonga!
Basi nakuja kule tupange mambo yetuโบ๏ธ
Professional works au zile za hand to mouth na kupiga picha kwenye city parks ๐Unaweza zamia bila hata ndugu andaa m 10 tu kabla hiyo pesa haijakata kupata kazi ni chap
Umejitetea mapema sana ๐Apana mkuu ๐๐
Itabidi niongee na ndugu yangu Fanton Mahal anitafutie scholarship maenjeTafuta tu scholarship au umuombe ushauri mange jinsi ya kupata mubaba wa kizungu. Mbona chaap ๐๐
Min me ni mtu mzuriii sanaaa kama wewe hawezi fanya hivyoWe furahia tu maana unaweza kukuta min -me ni dealer wa figo na kongosho kutoka Africa. Unaenda US kutafuta maisha ila mwisho wa siku unampa mtu mwingine maisha๐
M10 tena natolea wapiii min me๐ฃUnaweza zamia bila hata ndugu andaa m 10 tu kabla hiyo pesa haijakata kupata kazi ni chap
Kopa inarudi wiki mbili tu hiyo ukifika๐๐๐๐M10 tena natolea wapiii min me๐ฃ
Hivi kumbe mimi ni mtu mzuri ๐Itabidi niongee na ndugu yangu Fanton Mahal anitafutie scholarship maenje
Min me ni mtu mzuriii sanaaa kama wewe hawezi fanya hivyo
Kumbe hunipendi wewe๐ฃKopa inarudi wiki mbili tu hiyo ukifika๐๐๐๐
Yes! ๐Hivi kumbe mimi ni mtu mzuri ๐
Hii compliment itakuwa imekuja kwa udhamini wa brother ivan
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.
Say hi to everyone and every time we will be there.
We chat..
Hello jf..?